Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mim ni mwanafunzi Wa mwaka Wa kwanza 2018/2019 nimepangiwa chuo cha mzumbe mbeya sheria ila natamani kusoma udsm
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Nianze Kwa kuipongeza serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, kwa kuliona hili. Hapo awali mishahara ya walimu ilikuwa flat rate(sawa), haikujalisha mwalimu amesoma masomo gani, kwa kifupi...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana JF naomba kujuzwa juu ya kozi ya molecular biology and biotechnology. Ikoje na kwenye soko la ajira
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali? Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Hii kitu nimeona sana kwenye social media bio za watu wengi walosoma UDSM. Kama ni mwanamke utaona basi kawekan”UDSM Alumna” na mwananume ataweka “UDMS Alumnus” . Ni vigumu kukuta mtu kaweka “IFM...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF. Hii ni kuwatakia kheri wote waliotuma maombi ya vyuo vikuu mwaka huu. Majibu yako mbioni kutoka. Mungu akawakumbuke
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za kazi? Mzumbe university wana tawi mkoa wa mwanza kwa program za Masters
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Nimeambiwa kwamba wanafunzi wa secondary nowadays wanasoma somo la computer na wanafanyia mtihani kidato cha nne, Je, kuna ukweli wowote? Je, kuna syllabus ya computer kwanzia form one?
2 Reactions
4 Replies
417 Views
Habar ya leo wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada,je ni sahihi kama unafanya maombi ya kusoma stashada ya ualimu (special diproma) kwa masomo ya...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Je, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwa anaejua ni vitabu gani vinaweza kuwa msaada mkubwa Kwa mwanafunzi anaeanza form five PCB anisaidie Kujua ni vatabu gani....
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila...
10 Reactions
110 Replies
7K Views
Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau. Naona vijana waliomaliza form 6 mwaka huu 2023. Wana heka heka na admission za chuo zilizoanza kutoka. Ushauri wangu kwao watambue ajira zipo chache sana zama hizi kama sio...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu ningependa kujuzwa sehemu nzuri inayofundisha lugha ya kichina maeneo ya Moshi au Arusha... Au Dar es salaam kama ikiwa rahisi
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa uelewa wangu nnavyo kumbuka inakua hivi (kama nimesahau kitu jazia). 1. Kwanza lazima ahitimu shule ya msingi (miaka 7) 2. Lazima ahitimu na kupata ufaulu wa juu, one au two katika elimu ya...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Kuna mtu humu kafanikiwa kutuma maombi ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu?
0 Reactions
8 Replies
734 Views
Habari zenu. Mimi ni Frank 23yrs old ni graduate wa Stashahada (Diploma) ya Business Administration, natarajia kuendelea na shahada (Bachelor degree)naomba ushauri wenu wakuu kwenye kuchagua kozi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufahamu nikisomea laboratory technology katika chuo cha Arusha technical college nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?
1 Reactions
8 Replies
922 Views
Back
Top Bottom