Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
habari zenu wana JF Nombeni msaada. Nashindwa kuhakiki cheti changu kila nkifika hatua ya kuweka document inanambia niweke tena, msaada kwa anaejua shuda hii.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu leo kuna rafiki yangu wa A-level nilimkumbuka nikajikuta nimekumbuka mambo mengi sana ya enzi hizo miaka zaidi ya 15 iliyopita. Ni kwamba mimi ni mojawapo wa watu tunaojivunia kusoma mchepuo...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu naomba kujua inachukua muda gani? Hadi rita kurudisha majibu baada ya kufanya maombi ya uhakiki wa cheti
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu, Mwenye nakala laini ya kitabu kiitwacho Practical Geography for Africa by John M. Pritchard anisaidie.Wenu katika elimu.
2 Reactions
1 Replies
771 Views
Za jion wakubwa samahan Ninashida nauliza anaekijua chuo kinachoitwa Cavendish univasity Uganda tafadhali naomba anisaidie. Nilikuwa nimefanya application nikakubaliwa sasa sijajua kikoje ila...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Habrini ndugu zangu, Samahani naomba kama kuna mtu yeyote aliyesoma maswala ya Natural Resources Management and Assessment either bachelor au Master anicheki kuna jambo naomba kusaidiwa. Asante...
0 Reactions
4 Replies
836 Views
Na Halima MlachaAugust 17, 2023 TAASISI ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la saba 2023. Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa elimu hiyo itakuwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wanajamii, Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye bachelor of pharmacy na master of chemistry specialized in environmental chemistry soko lake lipo vipi hapa nchin Tanzania.
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hellow guys naomba usaidizi kwa aliye na group la kidato cha sita private candet arts combination's especially HGK OR HGL wanaotaraji kufanya mtihani mwakani please tuwasiliane tafadhari kama...
1 Reactions
5 Replies
354 Views
Ndugu zangu mliowahi kusoma, wenye uelewa na ufahamu mnisaidie kozi ipi inalipa sana na ajira bora kati ya Marine & Refrigration engineering na water suppy & sanitation engineering.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kujiunga na chuo cha ubaharia (DMI) )kozi zake kina anzia pesa kiasi gani. === UFAFANUZI NAMNA YA KUJIUGA NA CHUO CHA DMI Applications for admission are invited...
0 Reactions
42 Replies
34K Views
Nakuunga mkono mh.Waziri wa Elimu Prof.Mkenda. Hatuwezi kuwa na Vyuo ambavyo havielewi maana ya Specialisation badala yake vinakimbilia kwenye fani uchwara Kwa visingizio vya kuongeza mapato na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Can all the laws of physics be expressed as a set of mathematical equations? Yes, Mambo ya kufikirika :D :D :D :D :D :D :D :D :D Albert Einstein giving a lecture on relativity at a...
0 Reactions
5 Replies
524 Views
Habari Wana jamvi, Kwa mwenye kufahamu shule ya serikali ya wasichana tu mkoa wa Dar nahitaji kumuhamishia mdogo wangu tafadhali naomba anijuze.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hakika hili limekuwa ni gumzo kati ya miaka kadhaa ya nyuma mpaka sasa ambapo elimu ambayo imekuwa ikitolewa haina mashiko ya kumnufaisha muhusika kufikia kile anachokipambania ni kwasababu elimu...
2 Reactions
17 Replies
751 Views
Habarini wana JF naomba kuuliza ni lini majibu ya application za vyuo kwa dirisha la kwanza lililofungwa 4/8/2023 yataweza kutoka?
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nimeomba kufanya masters ya HRM toka Open Univesity of Tanzania. Naomba aliesoma au anaesoma hii coz tufahamiane iwe rahic kushare material. Thanks in advance!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu. Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na...
16 Reactions
94 Replies
41K Views
Habari wadau wa elimu ,naomba kuuliza: hivi Ni kwanini walimu tunatakiwa ku identify mwanafunzi Kama delicate entity ,na wakati unaandaliwa kuja kwenye ulimwengu ambao Ni hursh sana?. Kwasababu...
1 Reactions
3 Replies
456 Views
Msaada juu ya course ya water Supply Sanitation Engineering na Civil Engineering ipi ni nzuri kusoma
0 Reactions
5 Replies
788 Views
Back
Top Bottom