Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wana JF, Nilikuwa naomba mnitajie shule nzuri y serikali kuna dogo nataka nimuamishie pale. Kati ya hizi ipi nzuri na inapatikana maeneo au mtaa gani. NA. JINA LA SHULE 1 Aboud Jumbe...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Naombasaada katika kijaza demographics information katika olams. Nikijaza inakuwa inazunguka tu nikisubmit, je nini changamoto pale maaana watu wa mkopo hawapokei simu
2 Reactions
20 Replies
3K Views
JamiiForums Habari na Hoja mchanganyiko Natangaza haya hadharani Thread starterCuba o cuba Start date33 minutes ago Tagshadharani haya Unwatch ••• Cuba o cuba Member 33 minutes ago Add bookmark...
2 Reactions
1 Replies
344 Views
Hello comrades naomba anaejua anielekeze kulog out maana nimesahau password.
1 Reactions
14 Replies
773 Views
Utafiti wa Wizara ya elimu unaonesha kwamba kumekuwa na Wimbi kubwa la Wanafunzi Kukacha Kidato Cha 5 na 6 badala yake Kujiunga Vyuo Vya Elimu vya kati ngazi ya Diploma. Kwani Kuna nini huko...
22 Reactions
228 Replies
21K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana. Akitangaza...
6 Reactions
42 Replies
11K Views
Wadau au kwa wenye kufahamu, naomba kufahamishwa gharama za kusoma Masters kwenye chuo cha Diplomasia pale Kurasini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je unaweza kutumia cheti Cha Ualimu kusoma course nyingine tofauti na Ualimu nani course zipi hizo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lugha ya Kiswahili inazidi kuchukua umuhimu wake Duniani. --- THE University of Havana in Cuba is set to start providing Kiswahili language courses in the next academic year, Deputy Minister...
3 Reactions
3 Replies
849 Views
Wadau naomba ushauri juu ya programu ya bachelor of science in clinical nutrition and dietetics inayotolewa UDOM ina ubora zaidi ya ile bachelor of NUTRITION inayotolewa SuA ama ziko sawia kimasoko
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo. Ni mwalimu...
12 Reactions
520 Replies
90K Views
Kila mtu ana somo ambalo halikuwahi kuwa rahisi kwake. Labda kwa wachache ambao ni exceptional wanaweza wasiwe walikutana na hii situation. Nimekumbuka enzi zangu nipo chuo. Katika harakati zangu...
5 Reactions
126 Replies
10K Views
Some of the most unintelligent people I’ve met had Ph. Ds or ran large companies. I don’t mean that in a sarcastic or ironic way, I’m being completely serious. This seems impossible, but it’s...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU JAMBO HILI Mimi ni mwanfunzi nimehitimu kidato cha nne last year, binafsi napenda mambo ya Afya na Engineer Mimi nimebalance comb ya PCB NA PCM ila...
1 Reactions
264 Replies
61K Views
Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
6 Reactions
78 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu, Nianze kwa kuwapongeza wale wote waliofanya vizuri mitihani yao ya kidato cha sita. Niwapongeze pia walimu na wazazi bila kuwasahau walezi wa wanafunzi wetu hao. Niende moja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nina kamjomba kangu kamepata division 1.9 ya PCB. Yani Physics C, Chemistry C, Biology C, BAM D na GS C.ndoto zake ni kuwa daktari wa binadamu. So nimejaribu kupitia matokeo yao ya mwaka...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hoja: Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
396 Views
Back
Top Bottom