Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaidi napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa PCB sasa nimekata...
16 Reactions
248 Replies
35K Views
Nataka Kusomea kozi ya Airline Customer Services, wazee wapi naweza kupata Elimu nzuli na pia vipi kwenye ishu ya ajira? Natanguliza shukrani nyingi.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nisaidie tumsaidie huyu kijana kufanya maombi ya kujiunga na chuo UDOM 1. Pass za kijana ni 13 III G studies D, Geogr D, Chemistry E , Biology D, BAM F 2. Kozi gani anaweza kusoma UDOM be it...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Et bachelor of health system management Ina mahesabu ? Na pia maisha ya mzumbe main campus yapoje? Hostel zake na ubora wa chuo je upoje
0 Reactions
4 Replies
373 Views
WanaJF hivi inawezekan kwa mtu aliyesoma diploma ya Mechanical kusoma Civil Engineering katika chuo cha UDSM au Ardhi kwa upande wa civil lakini vipi kuhusu kutoka Mechanical Diploma af kusoma...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Fani ya Audiology ana speech therapy on maslahi yoyote kuna kijana ameing'anga'nia sana. Ushauri wadau
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba msaada wiki nzima sasa nimekwama kwenye demographic infro mtandao kila niki submit nashindwa kwenda mbele mfumo upo slow unashindwa kupokea data. Je, nifanyaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Intelligent people are often assumed to have it all together. They are seen as successful, accomplished, and highly capable. However, this assumption overlooks the emotional challenges faced by...
2 Reactions
0 Replies
610 Views
wapi ni pazuri kwa kusomea na usanifu katika kozi za uhandisi(Engineering)? I mean mwanafunz akitoka anakuwa compitent! Mostly kwa kozi za COMPUTER ENG and ELECTRONICS & TELECOM ENG for dit and...
1 Reactions
136 Replies
26K Views
Habari za majukumu wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naombeni Kwa mtu mwenye MAWASILIANO, namba za simu au hata email ya kumpata Dkt. Msonde anisaidie nna shida personal ya kumweleleza...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nilifanya application nikasubmit, lakini nimeshawishika kufanya marekebisho ya course. Ni kama hawajaweka hiyo access au ni mimi tehama inanipiga chenga? Naomba msaada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watoto wanahangaika kuomba vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTEVET. Hawapokei simu na kuna mambo muhimu yanayohitaji ufafanuzi. Unapiga simu zote hazipokelewi nchi nzima. Rutayugwa unafanya...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa hili acha niwapongeze Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu kwa kuwaongezea ada hawa wadogo zetu huko vyuoni maana hali ilikuwa mbaya sana. Na nyie wanafunzi someni sasa acheni anasa. ASANTE.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Samahanini wana jf hii September intake inayoishia August 8 mwaka huu majibu ya application ni lini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa elimu nina mdogo wangu ana diploma in Nursing and midwifery na anapenda kujiendeleza kimasomo anaomba ushauri ni kozi gani nzuri anaweza kwenda kusoma ukitoa Bachelor of science in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ili Taifa liwe na maendeleo ni sharti liwe na watu wenye elimu sahihi. Watu wakiwa na elimu sahihi, Taifa litapata viongozi bora, watumishi wa serikali wenye weledi na uaminifu mkubwa, wataalamu...
1 Reactions
0 Replies
800 Views
Fani ya Audiology soko likoje katika nchi yetu Tanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam, Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa. Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale...
4 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF! Nina mpango wa kutimiza ndoto yangu ya muda mrefu ya kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa course kwa ngazi ya Cheti na Diploma kwenye fani za Kilimo, Mifugo na maendeleo ya jamii...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom