Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakati wa masomo yangu nahitaji kuweka akiba ili badae niweze kufungua duka wakati nasubiri Ajira zitoke
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mzigo wangu umerudi baada kukata hadi kupitiliza. Imenichukua takriban miaka 2 pesa ndio imerudi jana. Ajabu wao inarudi bila ya kuwa na Value Retention. HESLB tengenezeni mfumo ambao mtu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani habari zenu kama tunavyojua mtu akitaka kuapply mkopo wa elimu mwaka huu mfumo umebadilika. Kama kuna mtu amefanikiwa kutuma maombi ya mkopo au mwenye changamoto naomba tujadili jinsi ya...
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Nina ndugu yangu hapa darasa la tano namwaambia inagawanyika kwa mbili baki moja haelewi, ameng'ang'ania mwalimu kamwambia inagawanyika kwa tatu na majibu kawapa. swali: andika namba witiri kati...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu hivi kozi ya Clinical Medicine topic zanazohusika physics ipo?
0 Reactions
10 Replies
864 Views
Habarini za jioni wadau wa JF? Mimi ni mmoja kati ya mlezi ambaye wiki mbili zilizopita nilipigiwa simu kuhusu kufanya maandalizi ya kambi kwa ajili ya mwanafunzi wa kidato cha nne. Niliipokea...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Hii nchi kila kitu ni cha hovyo. HESLB mmefungua dirisha la kuomba mkopo lakini mpaka muda huu watu bado wanaohangaika kukamilisha vipengele. Mfumo wenu ni mbovu nimelipia control number lakini...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
DAAD Masters Scholarship 2023 for African Students (Fully-funded) | Study-In-Germany ✅ “Leadership for Africa” Programme for Chad, DR Congo, Niger, Nigeria, and Togo: Master’s Degree Scholarships...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Vyuo vikuu vya ufilipino Ada nafuu haizidi dola 2500 kwa mwaka na elimu yao iko juu sana. Marekani na Canada wanaikubali sana
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimepata nafasi ya kukutana na Watu Wengi ikiwemo wabunge na madiwani na Kati ya mada Nilizoongea nao Ni Kuhusu Elimu yetu na Vijana wa kitanzania. Natamani kusema mfumo wa elimu Ni mbovu na...
1 Reactions
1 Replies
695 Views
Habari, Ninaombeni Msaada wa vyuo vya Serikali vinavyotoa Diploma ya Ualimu wa Shule ya Msingi.
1 Reactions
9 Replies
9K Views
MIMI NIMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA SITA. KIDATO CHA SITA PCB NIMEPATA "ESE" NIKAONA SIWEZ KWENDA DEGREE NIKAENDA SOMA FOUNDATION PROGRAM YA OUT (1YRS) SIJUI MUNAIJUA hii program NIKAPATA GPA YA 3.5...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji ameshiriki hafla ya Uzinduzi wa Chuo Cha biashara (CBE) tawi la Mbeya kilichopo katika Kata ya Iganzo, Wilaya ya Mbeya Mjini Mkoani Mbeya, leo...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Jamani habari zenu wajuvi wa mambo. Nina mjomba wangu amehitimu 2022 form 6 PCB alipata CCD. Sasa anaforce mambo ya course za afya na anaomba ushauri wa kozi gani ina soko la uhakika kati ya md...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nina interest ya kusoma post graduate diploma ya uchumi pale chuo cha diplomasia kurasini nina masters ya biashara, ninaomba kwa anaefahamu ada kwa kozi ni shilingi ngapi anisaidie kwani...
0 Reactions
22 Replies
39K Views
Nina ndugu yangu ana matokeo ya EED amesoma PCB Je anaeza pata chuo?
0 Reactions
4 Replies
919 Views
Hello Samahani mwenye kujua jinsi gani naweza kupata selection za form one kwa wanafunzi waliomaliza std 7 mwaka 2023. Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Ipu ni course nzuri ya kusomea Sheria kati ya "Bachelor of Laws" na "Bachelor of Law Enforcement?" Nitashukuru kama utaniambia ipi inajikita na Nini haswa . Na ipi ni rahisi kujiajiri / kuajiriwa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiuliza wanafunzi wengi kuhusu ndoto zao za baadae lakini wengi wao walionekana kukata tamaa kutokana na tabia za walimu wengi wanaofundisha masomo ya sayansi na walimu wa taaluma...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom