Jamani wadau naombeni ushauri wenu. Mdogo wangu amepata division 3 ya points 14 ktk combination ya HGL. Sasa hajui kama anaweza kupata chuo. WanaJF naomba mnisaidie nimshauri afanye applying vyuo...
Wenye experience kuhusu degree ya sheria
• Kwanini Law inayotolewa udsm ni miaka minne na mzumbe ni miaka mitatu
• Kuna tofauti kati ya mhitimu wa Law aliyesoma miaka minne na...
Kwanini wanafunzi wanaotuma maombi kujiunga na vyuo vikuu ambao hawajafaham vizuri kozi zinazotolewa na vyuo husika, wanatakiwa kulipa kwanza hela kabla yakuchagua kozi!!!
Kitu ambacho...
Hello JF,
Sijui wanachuo wangapi wana laptop na access to internet,
Kuna system nimeiona ya kurecord lectures,
Lecturer anakua recorded akifundisha,
Halafu inawekwa kwenye system ,mwanafunzi...
Wakuu Naomba Msaada wa kujua chuo kinachotoa Elimu ngazi ya Diploma Upande wa Masomo ya Biasahara yaani Commerce na Bookkeeping.
Naomba kujua pia kama ni chuo cha Serikali AMA cha Binafsi naomba...
Jamani wakuu msaada wenu tafadhali, mnaonaje mimi mdogo wenu nikasome Business Administration diploma na mnanishauriaje? pia kwa ajira nitapata baada ya kuhitimu?
Naomba niwasilishe.
Wakuu habari, ni imani yangu mnakumbuka ule uzi niliouweka hapa jukwaani siku chache na wengi wenu mlinipa ushauri mzuri.
Sasa na jambo hapa baada ya kupitia Mashauri yenu na Kwa sababu bado na...
jamani nimepotea njia. Najaribu kuomba vyuo vya afya NACTE. Sioni vyuo vya afya vya serikali, say Lugalo, Kibaha etc. Kuna nini? Utaratibu kwa sasa ukoje?
Habari zenu waungwana, nina swali moja,
Hivi kwa mfano umesahau namba yako ya mtihani wa form 4 na unataka kujua matokeo yako kuna njia ya kuifaham hio namba na kupata kuyaona matokeo yako?
Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya...
Wakuu habari za jioni.
Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo.
Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya...
Hivi ni kweli kwa taasisi kubwa kama board ya mikopo imekosa wataalamu wa IT wakaweka mfumo rafiki kwa waombaji wa mkopo?
Mfumo una mapungufu mengi sana na sasa ni wiki ya pili unasumbua:
1...
Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata...
nataka nikasomee health records and information management ....
naomba kama kuna mwenye uwelewa juu ya hii kozi na pia je upatikanaji wake wa ajira ni mrahisi au mgumu?
Wanajamvi habari.
Ninaomba kufahamu kama kuna tution center kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha sita ya masomo ya sanaa maeneo ya Mromboo au Intel.Nikipata mawasiliano itakuwa vizuri sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.