Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
clinical medicine nawez kupat ajira ngazi y diploma??
0 Reactions
2 Replies
246 Views
Habar wakuu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja...
3 Reactions
80 Replies
6K Views
Ningependa kujua hvi kuna sheria yoyote kuhusu size ya cheti cha kuhitimu chuo in gram ?
2 Reactions
0 Replies
219 Views
Habari, Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi? Asante.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni mwezi wa pili sasa nafatilia kupewa loan balance yao ili nilipe hela yao. Lakini majibu ya kizembe na ueledi mdogo wa kazi ndio nakutana nayo. Mara ya kwanza nliambiwa jisajili kwenye mfumo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nimekwama hapa kulogin kweny account nliotaka kuombea mkopoo. Kifupi nimesahau password kwenye ufafanuzi jinsi ya kureset anipe maujanja jinsi ya kufanya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Naitwa MR AVN MASTER. Nimerudi tena. Nafanya Maombi ya AVN Number NACTE, kama umekwama popote ni inbox/ nitext kwa namba hizi 0622569980 tusaidiane. Usipoteze muda kwa kupigwa pending au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kozi hii inahusiana na nini? when one graduates anaweza kuajiriwa/kujiajiri kufanya kazi gani
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Field Habari, nilikuwa naomba msaada wa kupata sehem ya kufanyia field course Taxation
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni kwaajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wametoka katika familia duni. Umezuka mtindo kwamba wanafunzi wengi waliotoka familia zenye hali duni na kwenda vyuo vikuu kubadilika na...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Tafadhalini Jaman naombeni mnisaidie: nataka kuaply bachelor ya ualimu wa masomo ya biashara sasa nataka kujua course iyo inaitwaje ili niweze kujaza kwenye form ya NACTE........
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada, mdogo wangu amepata div II-11 form six CBG ana Chem E,Bio D,Geo B. Asome course gani nzuri ambayo ni marketable?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunaendesha huduma za masomo ya ziada kwa somo la hesabu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari (O level) kwa mitaala ya Cambridge na NECTA. Tunapatikana Dar es Salaam. Mawasiliano yetu...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Habarini wapendwa. Nimemalizana na bodi ya mkopo kurejesha mkopo wao niliotumia undergraduate. Vip masters naweza kopeshwa Tena au utaratibu huo haupo
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu napanda kwenye jukwaa. Naomba msaada tofauti ya vitu hivi viwili kwa maana ya anaekwenda chuo kusoma mass communication na Jounalism wanatofautianaje! Ahsanteni
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Vipi Kuna mwenye kujua vibali na majina ya uhamisho kwa watumishi Kwa mwaka 2023 yanatoka lini?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Elimu Biashara: Fursa za Kujiajiri kwa Mhitimu wa Kozi ya Ualimu Kwasasa kuajiriwa kwa wahitimu wa kozi za ualimu ni changamoto iliyo kosa dawa katika maeneo mengi ulimwenguni. Hali hii...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahani huku kote ni kutaka kufahamu kiundani course hii inayotilewa na SUA ,hivi SUA wanahitaji point ngapi ili kuweza kuisoma hii course? Kwasababu Mimi nimemaliza mwaka huu advance na...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom