Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari Wana-JF, Nilikua nauliza nataka ku apply degree chuo cha IFM course ya computer science ila je ufundishaji wao ni sawa na chuo Cha UDSM au UDOM katika nyanja ya ufundishaji na mazingira?
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O-Level au ya 3 Advance basi mkoa mzima utapewa...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM UNIVERSITY COLLEGE OF EDUCATION RAMADHANI BARAKA SHALA Email: barakashala551@gmail.com WhatsApp No: +255762301305 Question: Referring to the theories of peopling of West Africa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mdogo wangu amemaliza form six mwaka huu na amepata faulu wa 1.9 mchepuo wa HKL kambiwa na mzee achague fani lakini vyuo ni mbeya na mwanza sasa yeye anapenda mambo ya elimu lakini Mimi...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Top 10 ya Shule Bora Matokeo ya Form Six mwaka 2023 Kwa Kigezo Cha Ufaulu kama ulivyopinwa na GPA ya kila Shule. 1.Ahmes 2.Tabora Boys 3.Marian Boys 4.Kemebos 5.Kisimiri 6.Mzumbe 7.Nyaishozi...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa naomba mwongozo kwa anayefahamu kuhusu mkopo wa elimu ngazi ya diploma.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kozi ipi inamanufaa kwa ngazi Certificate kwa hay matokeo PHYS D CHEM D BIO C GEO C HIST C KISW C CIV D ENG D MATH F
0 Reactions
62 Replies
5K Views
Nimeaminiwa kumfanyia application ya chuo kikuu mtu anaetumia equivalent qualifications kujoin Chuo... Wakati wa process nikaombwa Award Verification Number. Inaonekana ni mtihani mzito kdg...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada Bachelor Course ya Cyber Security & Digital Forensic na Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy Je, Competition & Effectiveness Zao Uraiani Zipoje?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Matatizo mengi makubwa ya Tanzania ni elimu. Hivi ukila chakula wakati mwili hauna digestive system kutakuwa na faida ya wewe kula? (Reading without reflection is like eating without digestion)...
1 Reactions
2 Replies
276 Views
Kuna mdogo wangu mmoja hapa alikuwa ameomba chuo India ila wamemwambia atume A level marksheet. Sasa naomba kuuliza unaweza pata hio marksheet, wizara ya elimu kule???
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Maoni yako ni yepi juu ya hili: Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu. Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari wadau! Naomba link ya kudownload VITABU vya TIE pdf kwa ajili ya kujisomea offline
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya muda huu ndugu wanajamvi. Ninaomba kukujulisha ya kuwa mambo yafuatayo ninaweza kufanya 1. Data Entry using SPSS. 2. Data analysis using SPSS & STATA. 3. Kufundisha STATA kama...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtoto wangu yuko kidato cha pili shule ya binafsi. Kutokana na hali ngumu ya kifedha naomba kujua kama kuna uwezekano wa kumhamishia shule ya Serikali Niko Dar asa
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote. Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza...
2 Reactions
52 Replies
12K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu uliza swali lolote kuhusu Anatomy nitakujibu hapa. Karibuni NB. Anatomy ya binadamu sio kiumbe mwengine. Naona watu wanachanganya kati ya Anatomy and...
11 Reactions
409 Replies
46K Views
1. Ufaulu huu mkubwa tulioushuhudia si kuwa watoto walisoma sana na kuwa na uwezo wa kujibu maswali. Kwanini nasema hivyo: Haiwezekani shule ambayo mwaka jana ilikuwa na 90% or so Div 0/Div 4...
8 Reactions
53 Replies
5K Views
Back
Top Bottom