Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanajamvi, kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba kwa mwenye uzoefu na aliyewahi kusoma A level Kwa muda wa mwaka mmoja alifanyaje akawaweza kufanya vizuri katika mitihani ya...
1 Reactions
68 Replies
4K Views
Wakuu Habari Zenu kuna kamsamiati kidogo sikaelewi kwenye hii kitu mim ni Adavance mweiz wa kumi nategemea kujiunga na chuo sasa kuna course moja nimetokea kuipenda ni ya Radiotion Therapy iliyopo...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu Nimetokea kupendezewa na fani ya Cooling system ambayo inajumuisha:- Refrigerator, Home and Offices Air condition, Car air condition' Truck body air condition Halls air...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana JF issue yenyewe ni hii hapa; mimi nahitaji sana kusoma Diploma ya Orthopaedic, ambapo course hiyo inahitaji masomo ya biology, chemistry na physics. So nilifanya chemistry, biology na...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau, swali hili limekuwa likinisumbua kwa miaka mingi, hivi kwa nini walimu wetu wa vyuo vikuu kwa asilimia kubwa huwa wanafurahi sana wanapoona wanafunzi wao wakifeli masomo wanayofundisha...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Naombeni msaada wana jamii mwenye kuifahamu vizur programme tajwa hapo juu na fursa zake tafadhali.
0 Reactions
8 Replies
973 Views
Kwa aliefanikisha tatizo la failed to register user network era shida ni nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hongereni sana kwa kufaulu. Hapangiwi mtu kusoma kozi Fulani au chuo Fulani. Ushauri kwa vijana wetu ni muhimu. Wapo watu wana mitaji ya kuanzisha shule zao hao wakisomea ualimu wa sanaa vyema...
5 Reactions
53 Replies
4K Views
Hello habari Nilikua nauliza mtu ambaye ana bachelor degree moja na Advanced level alisoma CBG anaeza soma bachelor ingine ya afya mfano pharmacy , Radiotherapy, MD etc? And je cheti cha...
8 Reactions
107 Replies
5K Views
Mnaweza kukuta mnapitia baadhi ya maswali ambayo yalishakamilika kwenye attachment hizo hapo chini Pia yapo majibu ya maswali yote yaliyowahi kutajwa kwenye post hii hapa chini...
1 Reactions
3 Replies
537 Views
Jamen nataka kuulza hv selection za wanafunz waliofutiwa matokeo kidato Cha 4 Wakafanya mtihan na form 6 may hazjatoka tu!!! Kuna mdogo angu hapa amefaulu vzur mtihan wa marudio lakin mpka sasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu kwanza kabisa nawasalimu wakubwa kwa wadogo habari zenu? Mimi nahitaji msaada wa mawazo yenu na msaada wenu huu ni mhimu sana. Nina Mdogo wangu kasoma EGM Advance kahitimu mwaka huu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Attention students and recent graduates! The Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships (QECS) have just announced their scholarship program, offering a unique opportunity to study a two-year...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
1. Leeds University Scholarship 2023/2024 Programmes: Accounting and Finance Country: England Level: PhD Financial coverage: Fully Funded Deadline: May 31, 2023 Apply: Leeds University Business...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii sijui hua inatokea nini. Ukikutana na mseminary mwenzako hata kwenye harakati za maisha ghafla mnakua marafiki na mnaanza kuwabagua wale waliosoma shule za kawaida kawaida. Iwe mtu alipita...
2 Reactions
4 Replies
892 Views
Habar ya mda huu humu, Bila kupoteza wakati napenda kuuliza, Hivi ni kwanii katika kutuma maombi ya kusoma kozi za afya kwa chuo cha Ruaha Catholic University maarufu kama (Ruccu) kilichopo...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mtu mwenye haraka zake huu mfumo sio rafiki, kwani umejaa changamoto. Kwa anaepitia changamoto hii atakua ananielewa
2 Reactions
5 Replies
557 Views
Heshima kwenu, Serikali ya awamu ya sita ilitangaza kufuta ada kwa kidato cha 5 na sita kwa shule za serikali ambayo ilikuwa ni shilingi 70,000/=. Nimepitia fomu za kujiunga na kidato cha 5...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aisee kuna jamaa yangu ananiambia hapa kuwa SUA wamedisco wanafunzi 1800 Mwaka huu. Sasa sielewi either wanafunzi hawasomi au elimu ya SUA iko tofauti na vyuo vingine. Naomba ufafanuzi
1 Reactions
161 Replies
31K Views
Habarini ndugu zangu Nina kijana wangu kaomba chuo cha muhimbili tangu tarehe 15 mwezi huu lakin kwenye kupata namba za malipo imeandika please wait mpaka leo, najaribu kuwapigia simu hawapokei...
0 Reactions
5 Replies
403 Views
Back
Top Bottom