Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mdogo wangu amepata Division 1 ya point 16,,, physics C, chemistry B, biology B, mathematics C. Mwanzo alichaguliwa CBG kwenye shule ambayo haina PBC. Yeye anataka akasome PCB, tunajaribu...
0 Reactions
8 Replies
775 Views
Kwa wale ambao mmeshawahi kupitia na kupiga za CPA ambao upo chini ya bodi ya wahasibu Tanzania. Na wale ambao mmeshawahi kupitia kupiga Pepa za law school of Tanzania. Hebu tuambiane ukweli ni...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari Mkurugenzi wa Taasisi inayowakilisha Vyuo Vikuu vya nje ya Nchi Tanzania (UAR) Tony Kabetha ameiomba Serikali kutoa mikopo, kwa Wanafunzi wanaoenda kusoma nje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wana Jf Mimi sio mwandishi mzuri Sana Ila Lengo langu Ni kujua vyuo vinavyotoa hiyo huduma I mean open University Nahitaji kusoma nikiwa kazini kwa mfumo wa ONLINE BILA KUGUSA ENEO LA...
1 Reactions
3 Replies
707 Views
Nina dogo langu ameng'ang'ania kusomea ualimu amemaliza six ila hajafikisha point za kuchaguliwa degree Nikaamua nimuombee vyuo vya ualimu vya kuanzia certificate na amechaguliwa Mpwapwa tc Hivi...
0 Reactions
2 Replies
579 Views
Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Msaada Hivi wakuu unaweza kwenda kuanza chuo degree bila results slip
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Naomba kujua kwa mwalimu mwenye degee anapoanza kazi mshahara wake ni Tsh ngapi na makato ni kiasi gani na take home inakua ni Tsh ngapi?
2 Reactions
67 Replies
24K Views
Kuna mwanafunzi alikuwa anasoma hiyo comb sasa katika matokeo amepata Geography E, Economics E na mathematics F. Je anaweza kuchukua diploma na vipi kuhusu akitaka kurudia paper kwa unafuu zaidi...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Umekosa Principal pass mbili/D mbili (points 4.0) za kwenda chuo kikuu?? Bado nafasi unayo Tena... Wakubwa njoeni tuwape mpango mkakati ili kufikia malengo...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Kulinga na bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024 vyuo vya kati watapatiwa mikopo. Je, unawezaje kuapply au kupata mkopo kwa vyuo vyakati?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wanajamii, mimi ni mhitimu wa bachelor degree ya accounting nataka nijiunge na tuition center yani cpa review classes hapa DAR ES SALAAM ila sijajua ni mahali gani pako vizuri...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Kitabu hiki kinatafutwa haraka wakuu, mwenye nacho afanye kuattach hapo chini. Combatants: A Memoir of the Bush War and the Press in Uganda. Mwandishi William Pike Natanguliza shukrani
1 Reactions
0 Replies
362 Views
Habari wanaJF Naomba kujua, kuna aliyefanikiwa kuomba mkopo?, Unakutana na changamoto gani na unatatuaje?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natamani kujua, Mwenyekiti wa Jimbo la jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaitwa nani? Jamani hili swali limenishinda. Nisaidieni.
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Wakuu Nilisikia Kuna Channel na Procedure za kufuata kama Mtu Huna Pesa ya Ada na Serikali Inaweza Kukusomesha. Ila Sasa Sijapata Kujua Exactly Ninawezaje Kupata Nafasi hii. Hasa katika ngazi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini wote. Samahani mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka Jana 2022. Nikachaguliwa chuo cha udsm lakin kutokana na matatizo ckufanikiwa kwenda kusoma. Nikaomba wanicancell ili niweze kuomba...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Back
Top Bottom