Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kuna mambo mengi sana yanasemwa kuhusu changamoto za walimu na taaluma yao, lakini kuna hili la Bango kwenye jengo la ghorofa Ilala hivi walimu mmeshindwa kabisa hata kukarabati hilo bango tuu la...
1 Reactions
1 Replies
450 Views
Naomba mwenye uzoefu au aliyesoma kozi ya sheria katika chuo kikuu huria,nataka kujua nasoma mnasoma unit ngapi kwa muhula wa kwanza na natakiwa kujichanga shilingi ngapi ili angalau niweze kuwa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu. Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474 + 533 Division 4 (ambayo ni division ZERO iliyochangamka) = YUTONG 15 full...
49 Reactions
302 Replies
22K Views
Kwa utafiti usio rasmi wanafunzi wengi hasa vijijini wamekua wakilikimbia somo la fizikia hasa wanapoingia kidato cha tatu, lakini pia ufaulu wa somo hili huwa hafifu hasa kidato cha pili...
3 Reactions
55 Replies
3K Views
Suala la kumsaidia mtu au watu katika maisha ni jambo la kawaida kwa wanadamu, yaani ni kawaida kwa wanadamu kusaidiana. Kuna baadhi ya watu tendo la kumsaidia mtu au kitu kwao ni kama tendo la...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Moja ya matukio yanayogusa vichwa vya habari duniani kote ni pamoja na kuwepo kwa nadharia ya mchakato mzima wa bara la Afrika kugawanyika kijiografia. Inakadiriwa miaka milioni ijayo Bara la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kitabu cha tie book 4 page 183 , swali la 9, nalikopi kama lilivyo. a Ladder lies along a vertical wall. If the ladder makes angles of 75.17 and 60.45 to the horizontal with 3m between the two...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mfumo huu utakuwezesha kutengeneza ripoti za masomo kwa urahisi na pia unaweza kutengeneza ratiba ya shule bila kuteseka! Fungua kwa computer (excel file) halina macro na nisalama (free of virus)...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama mtanzania nimepitia na kuisoma kwa umakini kujua nini kimo maana elimu ndo Kila kitu katika taifa lolote maana ndo jiko la wataamu wenye chachu ya kuleta maendeleo ya nchi. Nawapongeza Ila...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Ndugu wanajanvi wenzangu mwenzenu nina shida ya kutolipwa sitahiki zangu za likizo kwa kipindi cha miaka sita sasa tangu kupata ajira mwaka 2017. Kwa kipindi chote hicho nimejalibu kufuatilia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
HESLB:Kitengo cha mawasiliano hakijui wajibu wake. Wahitimu wa vyuo vikuu tangu mwaka 2009 ambao sheria iliwataka warejeshe pesa walizotuia kipindi wanasoma shahada zao ni wateja wenu! LINALO...
0 Reactions
4 Replies
781 Views
Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wanasaikolojia Tanzania (TAPA) utafanyika Ijumaa Juni 23, 2023. Wale wote wanaopanga kuhudhuria wanatakiwa kujiandikisha kabla ya Tar 31 Mei 2023. Jiandikishe...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Kama kuna mzee mwenzetu aliyeko kwenye hii picture tujuane.
0 Reactions
6 Replies
750 Views
Shule za msingi mwanafunzi anafundishwa kukariri tu. Mfano, Unaambiwa ukiona mwishoni "now" kwenye kitenzi unaongeza "ing". Unaingia kwenye chumba cha mtihani unapewa swali huoni kigezo chochote...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya ambacho kipo chini ya Wizara hiyo kina fursa lukuki kwa taifa na kwa wahitimu wake...
1 Reactions
0 Replies
907 Views
Hello dear friends of mine. Jamani poleni na hongereni kwa majukumu. Najua humu kuna watu wenye profession tofauti tofauti, na academicians wengi, hivyo natumai nitapata kitu. Ninaomba mwenye...
0 Reactions
2 Replies
495 Views
Katika chuo Cha ushirika Moshi Wanasoma course ya BICT wadau naomba mnisaidie kunifafanulia vizuri hii course na fursa zinazopatikana baada ya kusoma hii course (business Information and...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Tazama picha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Nisomapo kazi ya Mtobwa mimi huguswa na jinsi mwandishi huyu alivyocheza na lugha. Naam, anaelezea tukio kwa lugha inayovutia. Lengo langu ni mtu aliyeguswa na kazi fulani atupie kitabu huku au...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Je nikweli mwanafunzi anae soma EGM ni rahisi kufaulu
2 Reactions
15 Replies
844 Views
Back
Top Bottom