Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau naomba mwenye ratiba ya mtihani wa form two 2021
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kujenga nchi wadau, Mimi ni Mwalimu ambaye nimesomea kozi tajwa hapo juu nikiwa na GPA ya 3.8. Nimefikiria kwenda masomoni kujiendeleza katika moja ya kozi zifuatazo : 1...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Hi Wana JF, Naombeni msaada wa kupata softcopy notes za English Medium kwa standard 1-7 kwa masomo yote kwa mwenyenazo tunaweza kuchangiana Kias flani ili nizipate. Asanten Sana
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Dogo ananiuliza nimushauri aende wap,Kati ya hzo kozi mbili,wajuzi shaulini hap, utaje na faida ya kila moja.
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu Nimeingia kwenye system naambiwa nacte registration number ndo ipi? Mb: Naomba diploma ya law
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
0 Reactions
71 Replies
15K Views
Wakuu naomba kwa yeyote anae fahamu ikiwa ni mtu binafsi, shirika, taasisi ama kampuni inayodhamini watu elimu ya chuo kwa mashart nafuu especially ktk masomo ya sayansi naomba kujuzwa TAFADHALI.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa ufaulu huu wa kidato cha nne anaweza somea kozi ipi ya afya ngazi ya diploma au certificate. Kisw-c, eng-d, math-f, bio-c,chem-d,geo-c,hist-d, civ-c.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwalimu yeyote anayefundisha lugha ya alama yaani sign language. Awe mkaazi wa Dar, nahitaji mawasiliano nae ili nami nijifunze lugha ya alama. Aje inbox nimpe namba yangu tuwasiliane Whatsapp na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Naomba msaada wa App ya Android au iOS ambayo nitaitumia kutuma ujumbe mmoja kwa watu wengi, ambapo pia mpokeaji atapokea ujumbe ukiwa na jina la taasisi/kampuni au huduma...
1 Reactions
4 Replies
756 Views
Habari wakuu! Kuna dogo ana div 1 ya 9 amechaguliwa udom na chuo cha mipango Dodoma, lakini vyuo hivo aliviweka mwishoni kabisa akitegemea kwamba atachaguliwa vyuo alivyoweka mwanzo sasa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi katika chuo flani cha afya,hapa tanzania nikisomea kozi ya nursing niko mwaka wa pili,je kuna uwezekano wa kumaliza unesi na kujiendeleza kuchukua kozi nyingine kama vile...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa nini media zetu bado zinamwita huyu Naibu Waziri Dr wakati sio? Huyu ana mediocre Assistant Medical Officer(AMO),ambayo kwenye nyingine hawezi hata kushika mgonjwa1Hata Muhimbili wanajua,ndio...
1 Reactions
119 Replies
55K Views
Habari za kazi watu wa Mungu, Hivi kuna ambaye amepata admission chuo (tofauti na OUT) kwa kutumia matokeo ya foundation ya open katika selection za mwaka huu? Sent using Jamii Forums mobile...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau msaada tutani.. kijana anataka kusoma kati ya course hiz ip mtu ukisoma inakupa mwaga wa ajira kwa haraka 1.Dump truck 2.Excavetor 3.motorgrader 4.wheel loder 5 foklft
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Wakuu, habari za uzima. Foundation program ni course ya mwaka mmoja inayofundishwa katika chuo kikuu huria ikiwa na kama daraja kwa wahitimu(form four, form six au colleges )wanaotaka kwenda chuo...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Polee sana na kazi wakuu Naomba ushauri Mimi nimesomea ualimu ngazi ya cheti daraja la IIIA,,Sasa ni mwaka wa nne tangu nihitimu Je ni diploma gani au course gani naweza kusoma kwa kutumia cheti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering. Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Hello. Nafahamu humu Kuna watu mbalimbali wenye uzoefu na kujua mengi Sana. Naomba kujua vyuo vya nje ya nchi ambavyo vinatoa masters ya 1.Cardiology nursing 2. Neonatology nursing
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom