Nina mwanangu wa kike, matokeo ya kidato cha nne si mazuri, lakini kuna mtu kaniambia kwa matokeo yake anaweza kuanza na certificate in IT.
Naomba kujua mtu mwenye division 4 ya 27 inawezekana...
Bodi ya mikopo mlitoa tangazo dirisha la maombi ya mkopo kwa mwaka 2021/2022 litafunguliwa tarehe 01 July 2021, lakini hadi muda huu halijafunguliwa na hata website yao inasumbua kufunguka...
Kuna topic moja ya evolution of theory.kuna theory 3 classical approach,behaviour theory,contingence and scientific system ivi kati ya izi which is suitable to apply in the organization for nowadays?
Heshima kwenu GTs,
Mimi ni mmojawapo wa alumni wa Azania Secondary. Katika kuhamasisha wanafunzi kupenda kusoma hasa somo la hesabu, napendekeza wanafunzi wote tuliosoma Azania (PCM) tuanzishe...
Walimu habari!
Mimi nilipendekeza mwaka ujao wa fedha.
WALIMU WAKUU NA WAKUU WA SHULE wasipewe posho, na badala yake kile kipengele cha Responsibility allowance kibadilishwe kiwe FEDHA ZA...
Michezo humfunza mtoto ubunifu, kujenga ushirikiano na wenzake, mawasiliano nk. Hivi vyote ni muhimu katka maisha ya baadae ya mtoto. Katika michezo watoto wanapata nafasi ya kupanga sheria na...
Elimu inatakiwa isaidie mtoto kupambana na mazingira kwa kutumia raslimali zilizopo
Masomo ya O level kama Kiswahili, Civics na Historia yanapoteza tu muda watoto.
Yawekwe masomo ya kilimo na...
Habari wana Jamii Forums,
Nahitaji msaada kwa elimu kwa Mwalimu wa Pure Math kwa A' Level. Kwa yeyote aliye tayari ani PM ili tujue tunasaidianaje.
Updates:
Pia Mwalimu wa Geography na Economic...
Hivi ni vituo vya walimu ambavyo vimekua vikitumika kuwasaidia walimu kuendana na wakati kwa kupitia matini mbalimbali, vimetumika kuwakutanisha walimu pamoja na kupeana uzoefu kusoma vitabu...
Akiwasilisha makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia tarehe 9.
04 May 2021, aliiagiza bodi ya wakurugenzi ya heslb kufuta makato ya 10% yanayotozwa na bodi kwa waliochelewa...
Wakuu naomba kujuzwa kuhusu shule tajwa hapo juu. Naomba kujua ipo umbali gani toka Kibiti mjini na mambo wawili matatu kuhusu shule hiyo. Mtu atalajie nini na ajiandae na nini. Kijana wangu...
Naishauri serikali yangu kuhusu mtaala wetu wa elimu uweze kubadilishwa na kuwa wa mfumo wa hivi 2:6:4:1:2:3
Miaka 2 ya mwanzo ni elimu ya awali
Miaka 6 elimu ya msingi
Miaka 4 elimu ya Sekondari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.