Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wadau poleni na majukumu, Nasikia kuna kozi mpya ama imepewa jina lingine, zamani ni Shipping and Port Management, sasa hivi inaitwa Cargo Shipping, je kuna anaejua ukweli wa hizi taarifa?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu. Ninaye kijana wangu ambaye anaelekea kuhitimu masomo ya sekondary na amekuwa akichukua masomo ya biashara kulingana na uwezo wake... japo kama mzazi nilipenda achukua masomo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Natumai wote ni wazima, leo nimekuja na ombi kwenu, kwa yeyote anaefahamu kitabu kinachoeleza namna gani mtu anaweza kutengeneza confidence anihabarishe na namna ya kukipata au...
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Naomba kujuzwa juu ya suala hili,je mwanafunzi anayesomea med lab muhimbili na yule anayesomea kozi hiyo hiyo katika vyuo binafsi ,JE katika soko la ajira wanakuwa na equal chances za kupata...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari, Kuna tatizo gani na tovuti ya chuo cha Moshi Co-operative University? Ukifungua inakuja kialama kama namba nane ila kimealala na kuzunguka kama kinasachi bila kikomo, tatizo ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TCU ni taasisi inayodhibiti ubora wa elimu ya juu. Inakagua, inashauri, inaruhusu Na kusimamisha au kufuta vyuo visivyokidhi vigezo vya ubora. Hivyo, vyuo vyote ambavyo vinatoa mafunzo vimefikia...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Habarini ndugu, Jamaa na marafiki, naombeni kuuliza ada za vyuo vya kati kwa stashahada ya ualimu wa sekondari ni kiasi gani? (vyuo vya serikali)
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wanajamii forums ningependa kuomba kwa wale wanaofahamu vigezo vya kusomea afya tofauti na md Kama unersi, phamacia,na mengine anisaidie jamani.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwanini dunia imekuwa ikimchukulia Albert Einstein(205-225IQ) kama mtu mwenye akili zaidi kuwahi kuishi duniani, mbali na kuwepo watu kama vile Isaac Newton, William Sidis, Max Planck na wengineo...
4 Reactions
103 Replies
11K Views
TCU mfumo CAS ulifeli kwa kuwachagulia wanafunzi fani wasizozitaka na vyuo wasivyovitaka. Yaan mtu anaenda kusoma chuo kikuu fani asiyoitaka wala hakuiomba, na hajui inahusiana na nini. Chuo...
1 Reactions
5 Replies
866 Views
Wakuu kwema? Nitasoma course gani na chuo gani kwa level ya degree ili kusomea fani ya ukaguzi wa shule?
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Hivi hii bachelor of science general inayotolewa na open University inahusiana na nini na je ni sawa na ile ya UDSM?
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Msaada wanajukwaa mwenye program ya account ya MyOB naomba anisaidie.....kama ipo kwenye torrent yeyote naomba hata link....but iwe vizur
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Baba mlezi amefariki ila sisi tupo wawili yaani mimi na mwanaye wa kumzaa; wote tunaomba mkopo wa elimu ya juu. Je, sote tunaweza kutumia cheti kimoja cha kifo kuombea mkopo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wandugu, Katika kutoa huduma kwa jamii, napenda kuwashauri watu wanaotaka kujiendeleza kielimu, maarifa na kiteknolojia. Wapo watu wanaopenda kujiendeleza kwenye nyanja hizo, na hukosa...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Hellow wanajukwaa naomba mwenye ufahamu na kozi ya bachelor of arts in geography and environmental studies ya chuo kikuu cha Dodoma anifahamishe kuhusu details za kozi hii please.
1 Reactions
78 Replies
22K Views
Wakuu habarii nmepata kozi ya ROAD and RAILWAY Transport and Logistic Management vipi mashiko ya hii kozi
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Natafuta shule ya bei rahisi ya alevel arusha,moshi, yenye bei ya laki 9 naomben mnisaidie???hgl combination
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima iwe kwako, Naomba kuulizia shule nzuri kwa mikoa tajwa hapo juu kuna ndugu yangu kaniulizia kwa ajili ya maandalizi ya mwanaye kuanza kidato cha kwanza mwakani. Mtoto ni msichana na...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom