Wakuu habarini za jumapili na asbh kwa ujumla.
Nina ombi kwenu.
Kwa mwenye uwezo wa kunipatia kitabu cha SHAMBA LA WANYAMA anisadie.
Aniwekee hapa soft copy wakuu.
Ahsanteni sana.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu,
Kuna ndugu yangu aliyehitimu kidato cha sita mwaka 2019 lakini kulingana na halii ya uduni wa maisha alishindwa kujiunga ma Elimu ya juu licha ya...
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo kwa jambo fulani linalonikabili.Mimi ni mwanafunz wa chuo nimeingia kwenye allocation yangu lkn hapo kwenye returned amount ndo inanichanganya...
Baba na mama salamu, nyumbani nawatumia,
Siwezi kupiga simu, nipo mbali na dunia,
Bila shaka mwafahamu, jela ninatumikia,
Sina wa kumlaumu, niliyataka mwenyewe.
Vipi hapa nimefika, bila shaka...
Nimemaliza kidato cha sita mwaka 2020 nahitaji kuomba mkopo mwaka huu je nitakubaliwa bila kuambatanisha cheti changu cha kidato cha sita maana shule niliyotoka nadaiwa ada.
Mimi nilikua sijui kwamba kuna watu wanaweza kujiunga na masomo kwa ajili ya kusomea fitna na chuki ili kuwafitinisha watu anajiunga kabisa tena elimu ya juu na chuo kikuu
Yani anasomea masomo...
Kama mnavyojiua serikali inahimiza matumizi ya tehama katika kufundisha kwenye shule za msingi na serikali.
Juzi nilipita katika shule moja ya sekondari nikakuta wao wamepata msaada wa vifaa...
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu.Hii programme inafundishwa chuo gani?.Wakuu hii kitu inatangazwa sana na TBS Jana tena wamerudia baada ya sijui niite watu kukosekana ama vipi?.Hivi kuna...
Wakuu mimi ni Mwalim u wa kawaida. Nina degree ya Education niliyopata GPA 3.0 na pia nina Masters ya Public Administration nina GPA ya 3.5..
Malengo yangu ni kufundisha chuo kikuu ila marks...
Kuna mdogo angu amemaliza form four mwaka kaja 2020 kwa bahati mbaya alipata four ya point 26 kama ifutavyo
Biology C, Math F, Kiswahili C, History D, Geography D, Civics D, English, D
Naombeni...
Habarini wakuu naomba msaada
Nimemaliza Degree ya Education masomo ya Physics na Computer Science. Je naruhusiwa kufanya Post Graduate ya Computer Science maana me Ualimu siuwezi, nimesoma coz 11...
Habari,
Chuo gani kwa hapa Tanzania, kinatoa postgraduate diploma ya Project management au Research.
Na ada yake..
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Jamani naomba mwenye uelewa wowote juu ya jambo hili anisaidie,Je discontinue student anaweza tena kupata mkopo kutoka heslb na ilishaawahi kutokea hivo? ahsanteni
Bwana Yesu asifiwe wakuu..
Jamani nimeona ni vyema kutoa muongozo hasa kwa Form6 ambao mpo kwenye mchakato wa application za vyuo, kama kweli unapenda maisha yako na huna kaka wala Mama mbunge...
Wakuu wangu natanguliza salaamu zangu za dhati na shukurani nikiamini mpo wazima.
Wakuu kwa heshima yenu ningependa kujua kutoka kwenu eti aliyesoma Combination ya EGM anaweza kusomea cozi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.