Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.
Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course...
Naomba kujuzwa kwa mwenye ufahamu.
Swali langu ni kwamba kama ulipata mkopo kutoka (HESLB) na uka Disco ni kweli unaweza pata tena baada ya kulipa 25 asilimia?
Habari ndugu zangu!
Naomba kufahamu ni Kada ipi katika Utumishi wa Umma ambayo watumishi wake wanatumia sub-vote code 2208.
Nakumbuka nilipokuwa mwalimu wa Shule ya Secondary nilitumia sub-vote...
Najaribu kuverify cheti cha kuzaliwa online kwa ajili ya kuomba ufadhili (mkopo) kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu muda ukifika, sasa najaza particular zangu na za mama lakini nikifika stage...
Wadau Habari za mida hii,
Joining instructions ya Shule ya Sekondari MLANGARINI haipatikani kwa utaratibu uliotolewa na TAMISEMI.
Kama kuna mdau anayo, basi naomba anitumie. Pia kama kuna mdau...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu nina kijana wangu nataka nimpeleke hapo cbe kuendelea na masomo kwa ngazi ya certificate kwenye masuala ya uhasibu je level hii gharama ni shilingi...
Habari wadau,
Naomba kujua ufaulu wa o level mwaka jana ulikuwaje. Shule za serikali zili perform vipi, pia naomba list ya shule 100 bora Tanzania nzima.
Habarini wadau,
Naombeni Msaada kulingana na nilivyoeleza hapo juu. Mwenye nayo anitumie kwa email; unclekaso@gmail.com au WhatsApp Na. 0739947397
Nimejaribu kuitafuta kwenye website ya chuo...
Habari za muda huu wakuu,
Samahani kuna selection hizi za jeshi za wanafunzi waliomaliza form six zimetoka na nimechaguliwa kujiunga na jeshi ila nimebakia njia panda.
Nilikuwa nauliza kwani...
Asalaam.
Poleni na Hongereni kwa mapambano ya Covid 19.
Mimi ni Mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina Diploma ya Education G.P.A ya 3.0. Nimetulia na nataka kusoma degree ya kwanza, ila ijikite...
Naomba tushauriane katika hili wakubwa.
Asome ipi kati ya hizi ili kupata ujuzi na maarifa yenye matumizi
1. Post Graduate Diploma in Finance And Accounting
2. Bachelor of Business...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Natafuta mtu wakupublish nae tafiti, tutashirikiana kwa pamoja kufanya tafiti hizo. Mtu huyo angalau awe amesha publish tafiti zaid ya moja.
Sifa
1. Elimu...
Leo dirisha la kuomba kusoma vyuo vikuu mbalimbali limefunguliwa, naomba mwenye ujuzi jinsi ya kuomba anisaidie.
Pia tunaomba chuoni moja kwa moja ama TCU, ukiniwekea procedures utakuwa...
Wapendwa katika bwana naomba kusaidiwa mtoto wa kike aliyeishia darasa la saba asomee ujuzi gani angalau awe na cha kufanya katika zama hizi? Nimeombwa ushauri toka huku kijijini kwetu. Me...
Habari, kuna mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka jana, kwenye self form nilimuombea advance maana alibalance CBG pamoja na HKL, lakini akachaguliwa kusoma ACCOUNTANCY huko CBE mwanza campus, cha...
Niko kwenye process ya kumfanyia mtu application ili aweze kuomba chuo kikuu kama NACTE walivyoagiza kwa watunwa equivalent,bahati mbaya nimekutana na technical problem,hivyo kwa mwenye...
Heshima zenu wakuu,
Ni duka gani hapa mjini naweza kupata vitabu hivi?
ambavyo ni vifaa vya mtaala mpya wa awali wa 2016................
NB:vinavyohitajika ni vile vilivyoandaliwa na Taasisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.