KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kura za ndiyo au Hapana zitapigwa endapo; Rais atajiridhisha Kuwa mbinu za uchakachuaji zitakuwa Tayari Yaani 1. Karatasi feki za kupigia kura zitakuwa Tayari (ukiandika Hapana maandishi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi..naomba nitoe nukuu ya marehemu Muamar Ghadafi aliyewahi kuwa Rais wa Libya kuhusu Bunge''Parliament is a misrepresentation of the people,and parliamentary systems are a false...
0 Reactions
3 Replies
855 Views
Katiba hii pendekezwa ni mbaya kwa sababu;- 1. Tanzania upande wa Zanzibar kazi yao ni kutoa makamo wa rais , urais wenyewe Ngo`ooooo. 2. Maadili ya viongozi yaliyopendekezwa na...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Wa Mchakato Wa Katiba Kipindi Cha Kutoa Maoni Masheikh Walituhimiza Sana Waumini Twende Tukatoe Maoni Yetu Kwa Ajiri Ya Maslahi Ya Waislamu Lakini Matokeo Yake Hayakuwekwa Kwenye Katiba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kofi Annan once said, Knowledge is power. Information is liberating. Education is the premise of progress, in every society, in every family. Mwanasiasa mwingine wa Uingereza aitwaye James...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
hivi kweli bwana s s anaweza kuchemka na kumuorozesha mbunge wa zenji pitia nccr mageuzi pasipo yeye kuwepo ndani ya ukumbi wa bunge maalum? inakuwaje eti wana jf.
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Mimi ni Mtanganyika naweza sema nina huzuni juu ya Wazanzibar ambao mko tayari kwa nchi yenu kuwa Koloni la Tanganyika ambayo kwa kudhihirisha hilo Rasimu ya Sitta inasema JAMUHURI YA MUUNGANO WA...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Rais atajiridhisha Kuwa mbinu za uchakachuaji zitakuwa Tayari Yaani 1. Karatasi feki za kupigia kura zitakuwa Tayari (ukiandika Hapana maandishi yanafutika Baada ya Muda mfupi na kudisplay ndiyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau hebu tujadili hili. hivi katiba ndo inapaswa kutatua matatizo ya afya na barabara? elimu? maji? au nini hasa? nashangaa watu mnasema katiba ya CCM haina special concern ya hayo mambo so...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimaye mabalozi wa nchi za Marekani, Ujerumani na Uingereza waliopo Tanzania kuziwakilisha nchi zao wamemueleza bayana rais Kikwete kuwa hawatathubutu kuhudhuria sherehe za kukabidhiana 'katiba...
32 Reactions
269 Replies
32K Views
Nakumbuka kuna wakati serikali ilitoa amri kwamba watumishi wote wa serikali lazima wapate japo elimu ya kidato cha nne, na wapate cheti ili kuthibitisha hiyo elimu yao. Wale wote ambao walikuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nasema hayo kwa kuwa wazanzibari walioingia katika mchakato wa katiba walijali maslahi yao bila ya kuiangalia Zanzibar na watu wake na kufuata utashi wa vyama vyao katiba mpya ni kaburi kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu najua CCM ni mafundi wa kuiba kura hivyo sitarajii kura za ndio za Katiba mpya kutotosha. Na hii inaweza kuliingiza Taifa hili katika machafuko mara tu baada ya kutangazwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema Katiba ya Wananchi haiwezi kupitishwa chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya ulinzi na usalama vyenye mitutu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Phew... Finally KATIBA ya VINDEMBWENDE ???
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF,wanazuoni,wasomi toeni Faida, hasara, Maboresho ,maoni au mapungufu ya katiba mpya kifungu hadi kifungu kwa kulinganisha na ile ya tume ya mabadiliko ya katiba almaarufu kama ya Jaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naona litakuwa jambo la hatari sana kwa Watanzania na itakuwa ni sawa kupoteza fursa hii adimu katika kuandika historia mpya ya Tanzania kama tutawaachia CCM watawale Bunge maalum la Katiba kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilifanikiwa kuangalia hotuba ya mkuu wa kaya ya kukabidhiwa rasimu kupitia Star TV nikiwa Rorya. Cha kushangaza alipofika katika sehemu ya uhalali wa katiba pendekezwa alituvunga hivi;Alisema...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Ewe Mtanzania una maoni gani? Unadhani Mbunge wako asimamie eneo lipi kwenye Msawada huu? Mimi kabla sijaingia kwenye mswada wenyewe ni hoja moja kwa Mbunge wangu na wengine kwa ujumla. Hii...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tofauti ya viongozi wa dini katika kuombea Dua nchi yetu, Wakati shekhe wa mkoa wa Morogoro baada ya Shekhe wa mkoa wa Dodoma kuto tokea, Shekhe anaomba Mwenyezi mungu ashushe adhabu kwa wale wote...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom