KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Katika kipindi cha Habari ITV, nimemsikiliza takriban kwa dakika moja akitoa sababu ya UKAWA kutohudhuria Dodoma katika hafla ya kukabidhiana katiba mpya ingawa wameharikwa. Amechambua kwa kwa...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Ni dhahiri sasa kuwa kura ya HAPANA kutoka kwa wajumbe wa BMK iliiudhi serikali. Tayari mwanasheria mkuu wa Zanzibar ameshafukuzwa kazi kwa kupigia kura ya HAPANA ibara kadhaa za katiba...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Nawasalimu sana. Nataka kutoa pongezi zangu za dhati kwa serikali yangu ya CCM kwa tukio La Jana la uzinduzi Wa katiba mpya itayokwenda kupigiwa kura ya maoni pindi daftari la wapiga kura...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais Kikwete amesema katiba hii ni bora katika Africa na hivyo kuwataka wananchi kwa uwingi wao kuipigia kura ya ndiyo. Amesema ni katiba safi iliyosheheni ubora lakini hajazungumzia haya katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu salama! Nimengi yameandikwa kwenye fb, twitter n.k juu ya tukio la jana dodoma la kukabiziwa katiba JK (ambalo mimi sikulitazama, kwan siioni Tanganyika yetu ikirejeshwa ndani ya katiba...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Katiba ni mhimili wenye mstakabali wa nchi ila hiii iliyoandaliwa na bunge la Katiba ina mapungufu makubwa SANA upande wa bunge tofauti na ilivyopendekezwa na wananchi wengi kwenye maoni na...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Tumeshuhudia jinsi ambavyo jana Kikwete na kundi lake wakipiga kelele kuwa katiba ni bora. Kelele hizo za ubora wa katiba utazisikia kwenye wakulima, wasanii na wafugaji.Utazisikia kwenye akina...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Kawaida utaona miccm inaisifu hii katiba yao kuwa ni nzuri sana sana ,na ndivyo madalali huwa wanasifia sana sana ,tena hawa miccm ukiwauliza kitabu cha katiba kina kurasa ngapi ,aloo utakuwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Naapa kuichoma moto hii katiba ya mabwana wakubwa waliyotengeneza kwa ajili ya matakwa yao ili kuwaongeza wake zao pia madarakani baada ya kuona zoezi la watoto wao limefaulu .katiba isiyo wagusa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Bunge likiwa limebariki kua, Mjumbe yoyote wa Bunge Maalum la Katiba, anaweza kupiga aidha kura ya WAZI au Kura ya SIRI. Sasa Aliekua Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Zanzibar Masoud Othman Masoud...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mvutano wa jinsi ya kupiga kura, na mawazo mazuri ya kutaka kura ziwe za siri ili kutunza mahusiano na baada ya hapo, tumeona kura ya wazi inavyoanza kuleta madhara mwanasheria wa Zanzibar out, je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Makundi yafuatayo Inabidi yawe na uwakilishi ili kuzuia uchakachuaji na wawakilishi wachaguliwe na kundi husika sio mazingaombwe yaliyofanywa Hapo kabla kuchagua watu aina Kingunge kuwakilisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi tumeona hamad rashid akijisifu kuhakikisha kuwa rasimu inapita kwa upande wa zanzibar kitu kilichoshangaza wengi,maana maalim seif alishasema kabla kuwa haitapita. wewe unafikiri ni yupi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli ndio mapendekezo ya tume,ingawa inajulikana waliotoa maoni ni kama laki tatu. Na tunapaswa kuyaheshimu. Ila ningependa kujua misimamo ya watu hasa wanaopendekeza serikali tatu nini hasa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati waalimu walipokuwa wanaisumbu serikali kwa kugoma-goma,Mgaya akawaandaa kugoma nchi nzima. Rais alisema usemi kuwa waalimu watumia akili ya MBAYUWAYU "akili ya kuambiwa,ongeza na ya kwako"...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tayari tumesikia na kuona kwenye vyombo vingi vya habari na hata social medias viongozi wa kikristo hususani wakatoliki wakiweka msimamo wa wazi wakipinga vikali katiba ya sitta na hata kwenda...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
DK 90 za mpambano wa Ukawa na Tanzania kwanza zimekamilika leo Dodoma kwa Rais JMK kukabidhiwa Katiba pendekezwa. Je Kubenea bado unaendelea na Kesi yako?
0 Reactions
1 Replies
841 Views
109.-(1) Kutakuwa na Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano ambalo litakuwa na wajumbe wafuatao: (a) Rais; (b) Makamu wa Kwanza wa Rais; (c) Rais wa Zanzibar ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Kuna jambo linanishangaza. Rasimu ya Samweli Sitta inasema diaspora ambaye asili yake ni Tanzania hatoruhiswa kufanya yafuatayo: 1. Kuwa na makazi Tanzania 2. Kuwa shamba Tanzania 3. Kugombea...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi, Kwanza niwashukuru wote mliochangia hasa baada ya kuangalia upigaji kura bungeni leo. Baadhi nimeweka thread zenu humu kuonyesha jinsi mlivyotafsiri hasa pale kura za HAPANA...
6 Reactions
333 Replies
51K Views
Back
Top Bottom