KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wamejitekenya wenyewe, wakacheka wenyewe, katiba wametunga wenyewe, kura wamepiga wenyewe, Wakahesabu wenyewe, wakashinda wenyewe, wakashangilia wenyewe, wakakabidhiana wenyewe. Je hii ni akili...
9 Reactions
29 Replies
5K Views
Nimetafakari nimepata jibu la kumalizana na usanii wa mchumia tumbo six. Siku ikifika ya kupiga kura ya kuikubali au kuikataa rasimu ya six (katiba pendekezwa) wananchi wooote wapenda amani...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Barua kutoka ubalozini inasema: "kwa hivyo, kwa mazingira ya Ibada ya Hijja huko Makkah na katika viwanja na sehemu tukufu za Mina, Arafat na Muzdalifa ni vigumu kwa Waheshimiwa Wabunge wa Bunge...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
... Jana Wakati Wa Sherehe Zao Za Kukabidhiwa Katiba Pendekezwa, Nilimsikia Jk Akipiga Chapuo Katiba Yao Kwamba Watu Waipigie Ndio. Alisikika Akitumia Mipasho Na Misemo Kama Ya Mbayuwayu Na Jini...
4 Reactions
46 Replies
5K Views
Viongozi wa dini wahamasishe waumini wao kujitokeza kwa wingi kuipigia kura katiba ila wasiwashauri wapige kura ya ndiyo au hapana. WAWAACHIE WENYEWE
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Habari nilizogusiwa juu juu tu ,kumbe Dr Shein amemteua Mwanasheria Mkuu Mpya wakati mwanasheria huyo hayupo nchini ,yupo majuu na huenda alijiripua huko japo alikuwa ni chini ya Mwanasheria...
0 Reactions
79 Replies
19K Views
ndugu wana JFnapenda mchangie na kuliweka wazi tatizo ninalolipata mimi gogo la shamba pale nilipowaona viongozi wa dini wakipigia debe ya ndiyo kwenye katiba inayopendekezwa,je itakuwaje kama...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Wapenda wote ndani ya jamii forum, wekeni Signature hii kwenye profile zenu iwe kampeni maalum ya kupinga katiba hii inayolinda maslahi ya watawala. Hii hapa chini "Mwizi wa pesa za umma ndie...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF binafsi nimeuona huu utaratibu wa kura ya wazi ni mzuri sana na hauchakachuliki,nilikuwa naonelea kila uchaguzi unaofanyika ufanyike kwa kutumia kura ya wazi.Sijui nyie wana JF...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kweli CCM ni janga la kitaifa, hivi Katiba bado haijafika kupigiwa kura na wananchi sherehe ya nini? Kama si uchakachuaji? mmetuaminisha kuwa iwe rasimu lazima ipitishwe si ndio maana yake...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
SURA YA PILI MALENGO MUHIMU, MISINGI YA MWELEKEO WA SHUGHULI ZA SERIKALI NA SERA ZA TAIFA SEHEMU YA KWANZA MALENGO MAKUU Malengo Makuu 11.-(1) Lengo la Katiba hii ni kulinda, kuimarisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sehemu pekee ambayo ilikuwa ni sehemu yakumaliza kilio chenu cha mda mrefu ilikuwa ni kwenye Rasmu ya Katiba kwani manung'uniko ya muda mrefu kuwa mmemezwa na Bara ni kati ya kero za Muuungano...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naamini humu ndani kuna wadau wenye uwezo wa kusaidia kupatikana kwa softcopy ya rasimu ya katiba iliyotengenezwa na Bunge Maalumu ili tuanze kuingalia kwa umakini na kujua kama inafaa kura HAPANA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JK awageuka UKAWA, asema muda wa matakwa yao haujafika Akwepa kumshukuru Jaji Warioba, amwagia sifa Sitta, Chenge Vigogo wakacha makabidhiano ya KatibaWAKATI baadhi ya vigogo wakikacha hafla ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za kazi wanajamvi. Najua wengi sasa mko kwenye mapumziko ya lunch. Nimekuja hapa kuhitaji maoni ya wadau juu ya kauli aliyoisema Jakaya Kikwete kwama kama ilivyonenwa katika kituo ha...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Naona kama ingeliwezekana,Pangekuwepo na mahakama ya dunia kushughulikia Maovu kama haya ya katiba. Pesa nyingi zimetumika, na pia uchakachuaji ni wa wazi wazi.
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Pamoja na kele tulizosikia kuanzia bunge la katiba kwamba katiba hii ni bora, naamini kabisa haitakubaliwa na haiwezi kupita. Sababu zangu ni hizi hapa:- 1. Inakataliwa na waliokusanya maoni...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Kihunzi kingine cha Katiba inayopendekezwa Wakazi wa mjini Dodoma wakiwa kwenye ibada maalumu ya kushukuru kumalizika salama na amani kwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba inayopendekezwa, ibada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rasimu ya katiba ya CCM ipo mikononi mwa JK na Shein tayari kuletwa kwa wananchi. Tuliawaacha wajitungie rasimu yao ya chama cha mapinduzi. Wtaipeleka kwa wananchi kwa kutumia tume ya uchaguzi ya...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Kitendo cha kufukuzwa kazi mwanasheria mkuu wa Zanzibar ni madhara ya kura ya wazi ambayo ilileta mtafaruku sana.Maana ingekuwa ni siri isingejulikana na pia uhuru wake wa kuchagua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom