Jamani Tz kaz ngumu,uwe na div 0-Phd,bado naona ajira ni nongwa.
Mimi elimu yangu ni ndogo lakini hyo haikuzuii wewe msoma uzi huu kunipa ajira kama ntakidhi matakwa yako. Maana naish na watu...
Habari
Wanajamii nilikuwa nauliza wale watumishi wa TFDA ajira zao huzipata vipi yaani jinsi wanavyoajiriwa mchakato wa kuajiriwa huwa unafanyika vipi!
Heshima kwa wanaofahamu wanijuze
Salamu wana JF. Mimi ni mwalimu wa sekondari. Nipo Kahama mjini. Shule ipo katikati ya mji. Nahitaji mwalimu kutoka manispaa za Dodoma, Morogoro, Moshi, Tanga au Mwara ili tubadilishane vituo...
Mimi ni mdau mkubwa sana ktk mitandao ya kijamii, Hupenda kutafuta habari mbalimbali na kuwapatia vijana wenzangu ambao hawana access ya moja kwa moja na internet. Kuna kipengele cha ajira/...
Wapendwa wana JF,kama kuna mwalimu(wa kiume) mwenye angalau Diploma ya Elimu katika masomo ya English na Geography,na kama anahitaji nafasi ya kufundisha ktk shule ya binafsi(inaitwa St.Ritaliza...
:frusty:Wadau last week panel ya kushortlist ilikutana but up to now hamna kinacho eleweka,kama kuna mdau mwenyewe nyepesi atujuze hapa jamvini:bounce:
MKURUGENZI WA VYUO BORA VYA UANDISHI WA HABARI NA MAWASILIANO KWA UMA DAR ES SALAAM CITY COLLEGE ANAWATANGAZIA NAFASI ZA KAZI
MKUU
1.MKUU WA CHUO
2.NAFASI ZA WALIMU
SIFA ZA MWOMBAJI AWE NA...
Senior Water Supply Specialist The Water and Sanitation Program (WSP), is a multi-donor trust funded program administered by the World Bank, comprising a field-based network of over 70...
Green Bird College-Mwanga, Kilimanjaro
Tutors are needed in these areas;
1. Information Technology-1 post
Qualifications
*Bachelor Degree in IT or ICT
*GPA-atleast 3.5
*Innovative...
Wadau kizuri kula na mwenzio,u can use ur part time to make money online its real and it pays just follow the link http://PayMilo.com/ref.php?page=act/ref&invcod=87552
ACBF COMMUNICATIONS OFFICER – WRITER/EDITOR
GOAL South Sudan Financial Controller
Malaria Consortium Business Development Plan International Counter Fraud Specialist
IGAD Regional Expert...
TANROADS Cashier Requirements :Minimum holders of Ordinary Diploma in Accounting or Certificate of Accountancy from any recognized InstituteMust be Computer literate (at least Advance...
hi wadau, utumishi kwa mara ya pili tena wametoa nafasi za kazi zaidi ya 2000 tembelea website yao.kajarib bahati yako, ila daaaaa........... deadline mwezi wa sita kazini sijui lini tena.
Green Bird Schools has a mentioned vacancy to be filled.
Qualifications
**Degree holder in Education or other related specialization
** Experiences will be an added advantages
Mode of...
Habari zenu, katika pitapita yangu nimekutana na hii hapa: sijaja mikono mitupu
Source: The guardian, Daily News March 4, 2013
VACANCY ANNOUNCEMENT
Job Title: Finance and Administration...
Wanajf.the landmark mbezi beach limited wametoa nafasi za kazi kwenye daily news,the guardian.ss wameelekeza barua zipelekwe manager's office maeneo ya jangwani beach just before the white sand...
habari zenu wakubwa, nilitaka kujua mshahara wa IT administrator in average ni kiasi gani kwa yeyote anaejua. I mean inarange kiasi gani.
natanguliza shukrani!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.