JF MEMBERS
Every day we keep on growing and growing..
Kwa Vacancy ABROAD FROM DIFFERENT COUNTRY
visit
Hermes Power Inc-- Our Way Forward
From Tanzania to Abroad, Abroad to Tanzania
Teachers' Junction.
Wanaojihusha na kuunganisha walimu na shule kwa mikoa ya Dar es salaaam,Morogoro na Arusha.
Wanatangaza nafasi za kazi kwa ajili ya kuongeza nguvu timu ya mauzo.
Majukumu...
Je mwl anaweza kutoka Tgts D mpaka Tgts H1 kama ameongeza elimu(master) bila kupitia ngazi zingine za mishahara?eg uyo mwl kaajiliwa mwaka uu na mwaka uu akaanza master.
Wadau mm nina astashahada ya kilimo na mifugo natafuta kazi inayoendana na fani yangu katka makampuni na pia hata ktk mashamba ya watu binafsi popote niko tayari kufanya kazi
WanaJF wenzangu ninaomba niliweke hili wazi lakini ninaomba lisichukuliwe personal zaid, ni katika kuelimishana na kushauriana kwa mawili matatu yanayoweza kuwa katika uwezo wetu. Naumia sana...
Kwa wale waliofanya usaili mwaka jana college of "mathematics and natural science" mwishoni kuna mwenye taarifa zozote za waliofanikiwa kufaulu usaili kuitwa kazini?? ama nini kinaendelea please...
naombeni maelekezo wana jamvi, mimi nimemaliza chuo(first degree) nataka kujua namna ya kuweza kujiunga na mafunzo ili niweza kuingia kwenye kitengo cha uhamiaji
ni
kijana mtz na miaka 32 ninauzoefu wa kazi za ulinzi kwa zaidi miaka 10 elimu yangu ni diploma ya arts, ayejua connection
yeyote katika nchi za emirate (umaghani) anijulishe au ani pm...
Nafasi za Kazi za Leo, Kuna Barrick, NMB , Tigo na zingine nyingi.
SolidarMed General Internist Practitioner
National Registration Bureau Technical Advisor (TA) Malawi
Saferworld Country...
1
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA
UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/D/21 08 Machi, 2013
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu
waombaji kazi wa nafasi...
Natafuta kazi taaluma yangu nimesoma procurement and logistics pale tanzania institute of accountancy(T.I.A) kwale level ya certificate nililazimika kuishia hapo baada ya kufiwa na baba yangu...
Habari wanajamvi.
Ukitembelea web ya Jeshi la Polisi kwa wale waliofanikiwa kuifungua, utakuta hot mbili, moja ni ya kuwajulisha wale walipita katika usaili na siku ya kuriport tayari kwenda...
Want to become financially free and become the kind of a person you like? You want more time spending with your family and get out of more working hours stress? Want to be a big business owner...
Mikono mitupu hailambwi, Katika pitapita nimeokota hii magazetini.
Source - The Guardian March 4, 2013
VACANCY IT Manager
Reports to: Director of Operations
Location: Dar es Salaam
Purpose...
A technician or engineer is urgently needed for the installation of Ku-Band and C-Band systems. If you think you are qualified for that ( as an RF engineer/technician, electronics engineer or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.