Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
habari zenu wapendwa mm ni mtaalamu wa kilimo na mifugo nina astashahada kwa yeyote mwenye uhitaji plz tuwasiliane au kama kuna sehemu ambayo wanahitaji bibi/bwana shamba pm me tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF tunatafuta watanzania wenye vipaji vya kuigiza sauti za WANYAMA mbalimbali, NDEGE, WADUDU na/au WATU MAARUFU NCHINI NA DUNIANI KWA UJUMLA. Sifa za mwombaji awe na uwezo wa hali ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Legacy Impresion Company inatangaza nafasi za kazi nafasi ya Sales and Marketing nafasi ziko 4. mtumaji awe na uzoefu wa kazi pia awe na uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza kwa ufasaha. Tuma Cv...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nafasi za kazi za kufundisha zinapatikana mjini Bukoba katika shule nzuri ya binafsi na inayofanya vizuri kitaifa.Nafasi zilizopo ni mwalimu wa History na Geography kwa upande wa primary na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani naomba mnijuze sehemu ninayoweza kupa ta nafasi ya kujitolea ili nipatae uzoefu.nina Advance diploma ya computer science.nipo dar.natanguliza shukrani zangu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Digital Opportunity Trust is an innovator in enabling people to access and apply information and communications technologies (ICT) to create education, economic and entrepreneurial opportunities...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpo kimya sana vipi mchakato hebu tutiririke hasa wale ma-Ambassador si unajua kesho ndio maamuzi ,tujadili namna gani tuwachakachue jamaa .Haya leteni mbinu maana tulikuwa wapole sana dakika 15...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MZUMBE UNIVERSITY (Chuo Kikuu Mzumbe) VACANCIES The Mzumbe University invites applications from suitably qualified and competent candidates to fill the following vacant posts: SENIOR...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF, Hii ni fursa ya pekee kwa watu wanaopenda kufanya biashara isiyo na risk, biashara ya karne ya 21. Ni biashara ambayo mtu anaweza kuifanya huku anafanya shaghuri yake ya sasa. Ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habar? jaman waungwana naombeni kuuliza eti lile tangazo la utumishi la nafasi za kazi la mwezi wa pili mwaka huu lilitoka tarehe ngap kwa anaejua. maana nataka kuaply kaz.
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Habari zenu wana janvi natumai muwazima wa afya mungu akutangulieni kwa kila jambo. Najitokeza kwa mara nyingine tena kutafuta nafasi ya kazi ya udereva nimejitahidi kutafuta ila mungu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
I have finished ABE level 3 in finance management and currently am about to complete my higher diploma in finance management. I am fluent in english and swahili languages.Anyone who is interested...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Nina shahada ya ualimu wa science (Bsc. Education, studied at SUA), natafta shule ya private urgently. nina experience mwaka mmoja , natafta shule ambayo ipo dar es salaam... if any contact me...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
niaje wadau,kwema...naomba kuuliza kama kuna mtu au watu humu walio fanya interview finca bank tarehe 19 mwezi wa pili.je kuna mtu yoyote amapata majibu ya ile interview japo kuitwa au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello mwanajamii! Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato. Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya? Je, wewe uko unatafuta ajira? Je, wewe...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
nimetoka kwenye usaili wa udereva huku moshi, lkn cha ajabu limeletwa gari lenye ubovu wa gia, usukani kwa ajil ya usaili, hv wadau ndo utaratibu huo kwa kuleta gari lenye matatizo ihal kuna...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
habari zenu wana JF kuna nafasi za kazi zimetangazwa Opportunity Tanzania Limited(OTL), arusha wemetangaza nafasi za afisa mikopo, sifa ) 1Accauntacy nafasi 3 diploma ya accauntacy 2)Afisa mikopo...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Jamani naomba ushauli juu ya hisa ni kinunua zina[/COLOR] [COLOR=#ff0000]faida kwa apo badae manake kunamtu kaniambia amna kitu naomba ushauli manake ela yenyewe ni ya manati tu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hi
natafuta kazi ya utabibu nina diploma in clinical medicine
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Kuna Jamaa anajiita Dr Samuel Mnzava, aliweka matangazo ya kazi na baadae ametumia watu email inayosomeka hivi: Dear Sir/Madam, Kindly be informed that we are a newly TCU registered university...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Back
Top Bottom