Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Intern Placements Available at DOT Tanzania BackgroundDOT is a leading international social enterprise headquartered in Canada with local operations in 14 countries around the globe...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani mliopita interview ya signature holidays mmeshataarifiwa juu ya kuanza kwa training?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
It is a new era; if you are the CHADEMA member-particularly residing in Western Lake Zone (Geita, Kagera & Mwanza), be part of change that you wish to see. TRY YOUR LUCK CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
11 Reactions
60 Replies
7K Views
Mie ni mwalimu s/msing natafuta mwl wa kubadlishana mie niende Arusha yeye aje Lushoto mawasiliano 0762 87 51 37
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani hivi hawa watu wameshaanza mchujo wao mana kimya ndo kimya mwanawani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta mwalimu wa shule ya msingi wa kubadirishana nae mimi nafanya kazi maswa nahitaji mtu aliye tayari tubadilishane mimi niende njombe,ludewa au mfindi wasiliana nami kwa namba 0766597333...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani hao chakarika mikopo vp awajamaliza kupitia hizo CV
0 Reactions
2 Replies
2K Views
:playball:Wadau naomba kuuliza vp wajombawashaita watu ktk interview au ndo imekula kwetu:wink:
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naamini wanajf mko salama. Kwa maoni yangu mimi naona waajiri wengi wanaangalia kingereza kwenye oral interviev lakn wanakuwa hawamtendei haki huyu mwanafunzi ambaye amesota kuanzia shule ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari yako mwana JF, Chuo kikuu cha Dodoma wameanza kuita watu kwenye oral interview kwa kuwapigia simu watu walio kuwa shortlisted. Yaani waliofanya vizuri kwenye Written Interview. Interview...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
nimehangaika muda mrefu kutafuta kazi nilipga interview nyingi mpaka nikawa nikipigiwa simu ya interview hata sina wasiwasi ikawa ndo kama maisha yangu kupga interview daily,mwaka jana nikaomba...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Naomba kwa anayewajua Health Gear anifahamishe wapo wapi na wanafanya nini maana wametoa tangazo la kazi wakihitaji PROJECT OFFICERS bila kueleza kwa undani.- Natanguliza shukurani
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nina elimu ya ujasiriamali,leadership skills,maswala mbalimbali ya kijamii,elimu ya elimu kuhusu malengo ya millenia na pia maendeleo endelevu. Elimu hizo nimezipata kupitia course...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Wadau National Bank of Commerce mwezi January mwaka huu walitangaza nafasi nyingi za kazi na mimi ni mmojawapo niliyeomba moja ya nafasi hizi.Hadi sasa naona ni kimya,naomba kujuzwa kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mabibi na mabwana!! salam zenu kwanza!!! salute!! ama baada ya salam, naombeni kuwaeleza kilicho moyoni, mimi ni kijana wa miaka 22, naishi mabibo dar es salaam, ni mwanafunzi wa chuo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, naitwa Shafii From Health Gear Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Project officer. I Like your Cv na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo, Mshahara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwalimu wa kufundisha somo la Kiswahili mwenye Degree au Diploma anaitajika haraka sana hapa Bukoba Manispaa. Msahara mzuri ,utapewa usafiri,nyumba na chakula kazini.Nipigie 0752723242...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau wa JF...! Huku Lushoto posho ya kujikimu tunapewa tsh 25,000/= x 6days plus tsh 30,000/= siku ya saba. Naomba niwaulize wadau mnaofahamu rate za posho ya kujikimu zipoje...! Je, kuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Coeli Investment Ltd inapenda kutangaza kuwa inahitaji mtu wa kujitolea kutengeneza logo ya kampuni husika Kampuni inahusika na construction works and general supply. Kwa yeyote ambaye ataweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
​Habari zenu wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu ASAP.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Back
Top Bottom