Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
habari wana jf, nina kaka yangu ana division 1 point 11 O-level, division 1 point 9 A-level (HGE), 3.9 GPA (ECONOMICS) na academic awards 3 tofauti. lakin bado mpaka sasa hajafanikiwa kupata kazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni mpya kama unavyoiona hapo. Zimebakia piece mbili. Bei ni shiling lak saba na nusu. Kwa maelezo zaid nichel 0713401812
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jipatie gari aina ya RAUM kutoka Toyota ya mwaka 2007, injini yake ina ukubwa wa 1500cc. Ni yenye milango mitano (5), ina uwezo wa kubeba watu watano (5) kwa 4,290 USD tu. wasiliana nami kupitia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jamani kumbe Jeshini naako kunaubaguzi eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!wamechukua skuli 24 tu wakaongeza 3 tu zikawa 27 je zingine vp?wana sema bajeti finyo na wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi nchi inaelekea wapi, kuna kampuni moja ninayofanyia kibarua ila kinachouma ni kuwa kazi kupata kibarua ni mpaka hongo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman wapendwa nauliza eti pspf walishaita wa2 kuwenye usail! tangazo la mwez wa pili fani ya telephone operator/receptionist cku njema
0 Reactions
7 Replies
2K Views
If you are an open university student and you have trouble getting a well qualified teacher or mentor to take you through your studies, then contact me. If you are an open university law student...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu salaam, Kwanza nitoe pole kwa sisi wote tulioomba kazi kupitia matangazo ya tume ya ajira tangu mwaka jana mwanzoni. Ni jambo la kushanga sana kwa taasisi hii ya ajira vitengo vyote...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
A leading specialised engineering organisation is looking for a reliable and experienced secretary (age: 18-35 years) to start immediately. Must have 2 referees (professional and / or academic)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Huku jamii forum imekuwa ni fashion watu kupost nafasi za ajira halafu ukimtafuta anakwambia kuwa atakutafuta na baada ya hapo hakutafuti wala hakupi further details.Hili sio jambo jema hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanroads kibaha vipi mbona wako kimya? Mwenye taarifa jaman.
1 Reactions
14 Replies
4K Views
NAFASI YA KAZI ......... Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. 2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhi hadi saa tisa jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana Jf. Naombeni msaada na ushauri wenu! Nilikuwa nimeorodheshwa kwenye website ya Elimu nikiwa miongoni mwa wlimu wapya ( shahada). Nikiwa mwl wa Mathematics na nilipangwa wilaya mojawapo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
cv
jamani naomb mnisaidie.. CV inatakiwa iwe na vitu ganì na unaipangaje? nisaidieni wakubwa.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Vp wana Jamii?TMF wameshaita kwe interview ya internship(Accounts and Finance dept)?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wandugu nimeitwa kwenye interview ya Signature holidays jmos tarehe 2/03 kwa nafasi ya female brand ambassadors/PR executives msaada kwa anaefahamu ABC ya hii kampuni aniambie tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
JOB VACANCIES:Urgently required.We are one of the top five countrywide vendors of centralized students information systems,mainly dealing with IT related products.We are looking for two(2) highly...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Wadau wa soko la ajira nchini Tanzania, wanaotafuta kazi, waajiri, na waajiriwa. Tunapenda kuwakaribisha kwenye site mpya ambayo ni forum na blog, site hii itakuwa na jukumu la kuwapatia...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Jamani nimeona tangazo la kazi kwa waalimu wa masomo ya Drama, kuna shule ya Drama academy inafunguliwa hapa Dar es salaam. kama kuna mtu yupo interested anaweza tuma maombi kwenye email...
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Back
Top Bottom