Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
wameshatoa matokeo??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasaliwa waliochaguliwa kuendelea na usaili kwa ajili Tanzania library Service Board (TLSB) wanatakiwa kufika ofisi za Sekretarieti ya Ajira maktaba Kuu ya Taifa siku ya Ijumaa tarehe 1 Machi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naitwa PATRICK MAYUNGA nina certficate ya umeme wa majumbani katika 'full wire ring,folt tresinig,3phase,protective system Nk.Nina miaka 22 elimu yangu ni form 4 nina uzoefu wa miaka 2...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A leading specialised engineering organisation is looking for a reliable and experienced supervisor with workshop experience to start immediately. Must have experience working with Air...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
mimi ni mwl.shule za msingi nipo mkoani mara wilaya
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hv hawa jamaa kila cku kutoa majina nusu nusu manake nn jaman kuturusha roho kwa nn wasikamilishe kila ki2 then wayaweke kwa pamoja badala ya kuweka nusunusu tena wakichanganya na majina ya wale...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari jamani! Naomba kuuliza kuhusu ajira kwa tulio hitimu mwaka jana kwenye vyuo vya kati(diploma na certificate-fani za mifugo na kilimo) za wizara tajwa kwenye kichwa cha habari. Kwa yoyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi,samahani naomba kuuliza mwenye kujua wizara ya kilimo chakula na ushirika watatoa ajira lini?maana toka mwaka huu wa fedha uanze hawajaajiri mpaka sasa.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu! Sio promotion ya vyombo wajameni! Hahahahaaaaaa ! (Japo hamuipendi ila nayo kazi!) Kuna kanafasi cha temporary cha sales promotion, kwa mkaka anaejitambua! Simply kazi yake ni...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wadau tanroad moro walishaita nafasi zote au bado?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau napenda kuulizia kama tra walishaita nafasi za receptionist na janitor
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jihadhari: Jina la Taasisi ya Rafiki Elimu latumika kupata fedha kwa ajira hewa28/02/2013 0 Comments TAHADHARI KUHUSU WATU WANAO FANYA UTAPELI MTANDAONI KWA JINA LA TAASISI YA RAFIKI ELIMU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa nataka kujua Ngazi za mishahara pale UDSM. Nime jaribu kuangalia ngazi zao wana lakini sija pata. Sasa Senior Administrative Officer III & Accountant II ana pata mshara shingapi?
0 Reactions
14 Replies
15K Views
je ungependa kufanya kazi online mimi nimefanya kazi hii na imenilipa mpaka sasa nimeshapokea cash shiling laki sita na elfu ishirini cha msingi uwe na laptop na internet connection jisajili sasa...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Do you need detailed professional, quality, creative graphic designs for your ad of products or services that you provide? if yes, then please call: 0719 077 350 or shuuchris@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Jamani mm nikijana mdogo tu....namtafuta mtu anayeweza kunisaidia katika kaz zang za music. .....napenda sana kuimba na naamin muzik utanitoa kwasababu kipaj ninacho na pia nia ninayo naombeni...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
jamani tume ya ajira kulikoni hampatikani hewani, leo ni siku ya pili mfululizo siwapati kabisa kwenye tovuti yenu ya http://www.ajira.go.tz, au mmebadilisha anuani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Teachers King Solomon Acaedemy Date Listed: Feb 23, 2013 Email Address: Click to Email Phone: +255 655 417 956 Area: Dar Es Salaam Application Deadline: Feb 28, 2013 Position Description...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wapendwa wana jamii, Naomba nifahamu, Nimeitwa kwenye usaili, Nimefanyiwa usaili, Nikaambiwa ningepigiwa simu kujulishwa, Mpaka leo sijapigiwa, Sasa swali langu ambalo nahitaji ushauri, Je...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mi ni mzalendo wa nchi yangu tanzania.na napenda kulinda mipaka ya nchi yangu,pamoja na watu wake.yoyote mwenye taarifa za kujiunga na jeshi la wananchi wa tanzania,plz anijuze. JWTZ
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom