Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mimi ni mmoja kati ya walifanya interview ya utumishi mwenz januari lakin mpaka leo hii hawajatoa majina ya kuita watu kazini.Naomba kuuliza kwa yeyote yule mwenye kujua ni muda gani wanachukua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafasi 1. Airport Protocol 2. Marketing Officer 3. Heavy duty mechanic Send your Resume (CV) to <info@scoan.org> source: Emmanuel TV
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Dear Students, Do you want to do an internship with Google ? Google is now hiring for the *Google-2013-Software Engineer Intern,-Africa-Trainee-Program*. The Google-Africa-Trainee-Program-is...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakubwa! Nasikia advans bank wameita watu kwa interview. Mwenye updates plz anifahamishe,natanguliza shukrani.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu namshukuru sana Mungu maana nimepokea barua ya kuitwa kazini. Cha ajabu hawajatoa majina kwenye web. Kuna siri gani hapa?
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wadau tanzania women bank waliita watu kwenye interview(oral) zimepita kama week mbili hiv, naomba kama kuna mtu anataarifa za watu kuitwa kuanza kazi anijilishe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kwa mwenye new updates kwa wale waliofanya/waliofanyiwa usahili kama wameshaanza pigiwa simu kwa kuanza kwa training,maana kwa website yao no new updates until this moment,lakini naaminin...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Ni mm au na wenzangu???nimeapply kazi ya records management ngazi ya diploma katika mitandaowanayotangaza kazi zaidi ya mara 20 lakini siitwi hata kwenyeinterview moja ,,najiuliza sina vigezo au...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau Bank ya CBA walitangaza kazi mwezi wa kwanza any idea kuhusu interview wameshaita watu?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wadau wa JF nimefuatilia kwa makini mjadala wenu kuhusu hiki chuo chetu kipya cha Tanzania International University(TIU). Nataka kuwahakikishia na kuwaondoa wasiwasi kuwa hiki chuo kipo na...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Nina degree ya civil engineering, nimefanyakazi mwaka 1, pia nina uzoefu wa software kama AutoCAD, nna uzoefu wa kazi za maabara (soil, aggregate, concrete na bitumen tests), estimation na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nimeitwa interv ya accountant grade 11 utumishi yoyote aliye udhuria whriten za uhasibu utumish natanguliza shukrani zenu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mimi nipo halmashauri ya kasulu kama mwanasheria. naomba mtu wa kubadilishana naye kutoka mikoa mingine kama morogoro, dodoma, manyara, arusha na tanga. namba zangu 0655739214, 0762630020.
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Heshma kwenu wadau.Kama heading ilivyo wakuu nimeitwa kufanya usaili nafasi ya programmer.Sasa kama kuna mdau anajua hzo interview zao zinakuwaje amwage desa hapa mana wengne 2memaliza chuo miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana JF naomba niwaulize kwamba hivi zile nafasi za shift incharge Tanroads Kibaha ziliishatoka?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nimeitwa kwenye interview Milembe insurance, nime google nimeona company ipo Raha towers ila simu niliyopigiwa nimeambiwa nifike osterbay, Niliomba kazi kupitia zoom wenye ufahamu naomba...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
&#8203;Habari zenu wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu ASAP.&#8203;
0 Reactions
4 Replies
3K Views
habari zenu naomba msaada wenu anaeweza kuniwezesha ili nihame tarime nnakofundishia ili nije sehemu ya either morogoro, tanga, dsm, kibaha, bagamoyo, arusha, kilimanjaro. unaweza ukanipa mtu wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi wakuu kuna yeyote anaefahamu ofisi za tamisemi dar es salaam zipo pande zipi,,,,pia ka kuna mtu anafahamu yyt anaefanya kazi tamisemi naomba niunganishwe
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Back
Top Bottom