Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Wadau naomba msaada ushauri, ni mambo gani ya kuzingatia unapotaka kuhama kutoka kazi uliyonayo kwenda kazi mpya
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, nimefanya hii kazi kwenye gazeti fulani la dini fulani kwa miaka miwili. Huwa nakosa amani pale ninapo ambiwa eti nibadili dini niwe kwenye dini yao. Nina mpango wa kuacha kazi. So...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je! wewe ni mwalimu? Umetafuta kazi bila mafanikio? Unafanya kazi kwa mshahara usiodhizika nao? Umepangwa usikokupenda au unafanya kazi kwenye mazingira magumu? unauwezo mzuri na mwenye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za weend wana jf wote, Binafsi nashindwa kuelewa kuhusu sifa zinazotumika kutoa ajira mpya kwa walimu wakufundisha shule za sekondari maana wapo wengi wameachwa mtaani bila ajira eti kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari! Naomba kusaidiwa kwa mwenye uelewa,hivi hii interview ya computer practical inakuwaje? Na pia natakiwa kujua mambo gani kabla ya kuingia kwenye interview ya computer practical?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Natafuta kijana , hasa mwanamme, awe na umri wa kati ya miaka 20-30 hivi, Form Six au aliye na Diploma ya profession yoyote ili ni nimpe kazi ya umeneja. Kijana awe na reference nzuri ya watu...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Hivi ni lini serikali itatangaza ajira kwa waalimu? Hakuna mwenye kujua ni lini ajira zitatoka?
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Uwezo Org Ni Organization ya muunganiko wa watalaam, na madalali wenye uwezo katika maswala ya Technology, Print ya High Quality na material ya aina zote kwa bei nafuu sana, Pia tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Kila nikiseti dili zinabuma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman ulifanya oral jumatano na alhamis kuna mtu kapigiwa simu ya training,kwa anajua tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata chance ya kufanya interview jtatu wadungu,so naomba kujua huwa inakuaje na maswali yanakuaje kwamfano..:yo:
0 Reactions
5 Replies
4K Views
MIMI NAITWA CLEMENT E.MAGANGA AFISA MAENDELEO YA JAMII NAFANYAKAZI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA MKOANI SIMIYU NINATAFUTA MTUMISHI WA MAENDELEO YA JAMII ILI TUBADILISHANE KUTOKA KATIKA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awe amemaliza Form Four Mwaka 2012, Awe na Div four Awe anajua kupika Ambae hakulia alipopata matokeo yake Ambae anajua kutumia Facebook, twitter, na watsupp na Email N.K
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafta mwalimu kutoka kanda ya kaskazini(ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA) tubadilishane vituo vya kazi yeye aje iramba. Kama upo tayari tuwasiliane plz.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
eti chuo kila anayeomba kazi anatozwa 20000, jamani TCU nnasajili chuo ambacho hakina uwezo wa kujigharamia recruitment. Huu ni wiz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu watanzania Mimi ni kijana nilie na umri wa miaka 28 ni mtanzania mzaliwa wa zanzibar elimu yangu ni form 4 ninaujuzi wa kutumia computer na kuitengeneza kwa hardware and software pia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mhasibu anatakiwa mwenye degree..mshahara net Ni laki 4...Piga 0718200777
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafta mwalimu wa sekondari kutoka kanda ya kaskazini(ARUSHA, KILIMANJARO NA MANYARA) tubadilishane vituo vya kazi yeye aje IRAMBA, SINGIDA. Kama upo tayari tuwasiliane plz.
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Jama wana jf kwa yoyte mwenye fail la kuitwa kwe usail naomba aniwekee, net inansumbua asanten
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom