Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu wadau Nina rafiki yangu amekuwa anajitolea kwa muda wa 5 months now kwenye benki moja hapa dsm baadaya ya kutafuta kazi na kukosa. Hivi karibuni wameitwa kwenye interview na hiyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa Chidachi East - Dodoma kwa mawasiliano 0769054296
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau Natafuta kazi ya ualimu shule yeyote Arusha ,tanga au moshi. Nina bachelor ya ualimu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta kazi mwenye kazi zake anic2e but ujinga spendi.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tra walishata interview jaditors,receptionists,library assitant na assitant librariana interview ilikuwa 20/12/2012 -ITA
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nauliza vipi kuhusu nafasi walizotoa dec 2012, ACB Bank kwa branch itakayofunguliwa DODOMA wameishaita kwenye interview?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jamvi naombeni mnijuze kuhusu mishahara ya hiz agent za serikali inafanana au inazidiana na agent ipi zinalipa vizuri zaidi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Iv jaman haya makapun yanayotangaza kazi yana nia ya kuajiri watu au wanatangaza tu ili waonekane nao wanatoa ajira? haiwezekan mtu ana qualification tangu 2009 anaaply asipate kaz wakati wengine...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu, kwanza nakiri kabisa kuwa pengine hili siyo jukwaa sahihi la kuongelea elimu. Lakini nisaidieni, kama ajira za elimu zipo kwenye mtandao, naombeni link!!!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau kwa wale walioitwa kazini vipi barua zinachukuliwa wapi kwa mkono maanatukisubiri wakituma kwenye posta ztachelewa kwa wale maafisa biashara wa tamisemi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mtu yeyote anaejua utaratibu wa kufungua NGO unaanzaje jamani au ni nini kinahitajika, kila ninapojaribu nakwama na sijui ni nani wa kumfuata anisaidie hizo taratibu, maana kuna watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A graduate from a recognized university, with outstanding perfomance. I year experience on the relevant field, have worked in various workplaces including mining sites. compitent in...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu kuna jamaa yangu kapigiwa simu na hao jamaa wakidai watampa kazi ila atume laki moja kwenye namba ya simu alafu watamtumia scanned receipts na kumfanyia interview..sasa wanajamvi huu si...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
We are looking for mobile application developers who have some experience in Android and iOS platforms. We have a project which will be implemented using the PhoneGap framework (PhoneGap | Home)...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Jamani mwenye update yeyote kuhusu ajira ya IT naomba anijuze ntashukuru sana ***Anyones with any update on the IT jobs plz gave me da information very soon.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau kitaa kimenuka, ni mwalimu wa masomo ya Arts yaani HISTORY,CIVICS NA GENERAL STUDIES nimefundisha miaka miwili . Nina Degree yaani BAED GPA 3.4 UDSM 2010 nimepiga HISTORY AND POLITICAL...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndg zangu jamaa zangu na marafiki zangu. Naamini katika idara za serikali UHAMIAJI ni mojawapo wa idara zenye wasomi wengu, Napenda kujua je vigezo wanavyotaja kwa kazi ya uhamiaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Ningependa kujua mwenye kufahamu CRDB km wametangaza ajira hivi karibuni. Regards!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani, mwenye Updates zozote kuhusu Ajira za Clinical Officers kwenye private Institutes/Hospitals or Organization naomba anijuze. Ahsante.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom