Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mimi nina adv diploma ya computer science,nipo dar. kwa anayeweza kunipatia,anitext on 0687057467.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jaman naomben msaada wa taarifa kwa wale wanaojua kama zile kazi za TRA zilizokuwa unaomba online kama wameshaita watu kwenye interview!!! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jaman naomba kujua kama zile kazi za TRA zilizokuwa zimetangazwa na watu wakaomba online kama walishaita watu kwenye interview Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
2K Views
natafuta kazi ya udereva, umri miaka 25 nina leseni, elimu kidato cha nne pia nilipitia jkt naweza kumwendesha mtu hata kuwa mlinzi wake ikibidi
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Eti wadau ni wapi naweza kupata soko la asali ya nyuki wakubwa kwa DAR ES SALAAM?(sehemu ambayo naweza kuuza) Ningepajulishwa na bei ingekuwa poa zaidi. Natanguliza shukrani zangu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu, nimesota sana, sasa nimeitwa na jamaa wa ajira kwa ajiri interview, sala zenu muhimu sana
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau kuna mdau amesema katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI Star Tv kuwa kazi hazipati watu ila watu wanapata kazi ndo maana kuwa low performance. Imekaaje hii mbona sielewi flani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nina mdogo wangu kachaguliwa sehemu mbili na nafasi ni hiyo hiyo moja kachaguliwa lindi kama afisa maendeleo ya jamii daraja la ii na pia meatu kama afisa maendeleo ya jamii daraja la pili ingawa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Sasa unaweza kupata pesa kwa kusaidia kutangaza biashara. Ni rahisi - Gonga hapa: IncomePart.com Earn Money by referral links - 1$ per visit Uthubutu ni sehemu ya mafanikio.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mtu ambaye yupo makini atakubaliana namimi kuwa hawa jamaa wana mchezo mchafu na huu usaili wao. Kwa kumbukumbu zangu ni kuwa hili Tangazo la Ajira la mwezi Mei 25,2012 nafasi za Maafisa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sumatra Consumer Consultative Council ilituita kuhudhuria usaili 10th October 2012 siku ya jumamosi ilikuwa, usaili ulifanyika NIT chuo cha usafirishaji D'salaam. Nawaomba wadau wa JF mwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani,kaka na dada,mu hali gani? Ndugu zangu,nahitaji sana kupata elimu ya biashara,hasa namna ya kuanzisha biashara na hata kuiendeleza. Pia nahitaji kujifunza ujasiliamali wa utengenezaji wa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama una vigezo na sifa tuma cv zako hapa anita.kabwogi@sacids.org Sema una hata masters ya PR au communication kwenye hayo mambo ukipata urudi kushukuru
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale Wadau walioomba nafasi za kazi zilizotangazwa 03rd October, 2012, na TANROADS REGIONAL MANAGER – Morogoro, waombaji 175 wameitwa kufanyiwa usahili kama ifuatavyo: 8 POST OF SHIFT...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Kwa waliofanya mitihani ya bodi ya uhasibu matokeo tayari
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, natafuta kazi za part time. S CV Education : Advanced Diploma in Computer Studies. Experience :10 years in field. Currently Employment status : Employed...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari yako; nimepata tetesi kuwa DTB wameita watu kwenye usahili..Je kuna ukweli juu ya hili, mwenye taarifa sahii na kamili kuhusu majina ya walioitwa, siku, saa, na mahali usahili huo...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Hello JamiiForums. i'm new registered user of JamiiForums. I would like to ask about employment oppotunity in TRA. when will them provide employment to new applicants in year 2013?.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar za leo ndugu zangu wa jf. Ninahitaji kuappy vacancy kweny zoom kuna nafasi nafiti sasa kasheshe hawajaweka direct wanasema "click to email" hapo ndo kazi inakuw ngumu nikiclick najiandikish...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau mh rais wakati anazindua matokeo ya sensa alisema kuna ajira zaidi ya 400 kwa ajiri ya kufanya tathimini ya sensa,hivyo nawasilisha kwenu wadau mwenye updates kuhusu tathmini hiyo itafanyika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom