Hii ni nchi ya ajabu sana. Unamaliza mpaka chuo kikuu lakini siku ya interview wanakwambia hawakujui eti kisa ulipoteza vyeti tu hata kama viliungua moto ndani.
Nchi ya maajabu sana. Hata IT...
Nina wazo la kuanzisha kampuni ndogo ya ujenzi, ambayo timu yake itakuwa hivi:-
Architecture - 1
Quantity surveyor - 1
Marketing - 1
Kwa kuwa kampuni itakuwa bado ni changa, haitaweza kulipa...
Jaman Kwa Hali hii Bora serikali irudishe ajira za ualimu KULE TAMISEMI ki ukweli huku kwenye interview tunakomoana hebu fikiria maswali haya kwenye GEOGRAPHY IIIC
Miaka kumi imepita leo naulizwa...
Katika pita pita zangu hapa jamii forums, haswa katika jukwaa hili la ajira na tenda... moja kati ya mambo ambayo nimeyagundua ni kuwepo kwa changamoto kwa vijana (haswa ambao ni wapya katika soko...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au...
Loan Officer, Credit Officer or Head of Branch kwenye Microfinances tu or any legal work
NB:NIKO NA UZOEFU NAZO
Nimeambatanisha Wasifu Wangu
Wako Mtiifu
0656391899, 0789435341
DAR ES SALAAM.
Awe na uzoefu wa kutumia 'software' yoyote ya 2D kutengeneza video ya katuni
Awe na uwezo wa kutengeneza video ya masaa 10 kwa mwezi
Awe na elimu yoyote kuanzia darasa la saba
Malazi ni bure...
Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL)
Ujuzi: VETA na SIDO.
Makazi: Dar
Naweza fanya Kazi: Popote
Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha:
*Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa...
Usipojua na kama haujashuhudia unaweza hisi ni hadithi tu au ni jokes ukweli inasikitisha vijana nilioshuhudia vijana zaidi ya 2000 katika mkoa Fulani wakipambania nafasi ya walimu 180 nchi nzima...
POST
AFISA KILIMO DARAJA LA II - 3 POST
POST CATEGORY(S)
FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER
Wizara ya Kilimo
APPLICATION TIMELINE:
2022-03-15 2022-03-28
JOB SUMMARY
N/A
DUTIES AND...
Overview
EWURA Tanzania Jobs 2020. The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world-class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and...
Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja...
Habarini ndugu zangu, kwa majina naitwa Nuru, mkazi wa Dar es salaam, Kimara Korogwe.
Natafuta kazi ya dukani, nina uzoefu nayo, nimefanya sehemu tofauti tofauti. naombeni mnisaidie ndugu zangu.
Wakuu habari, kesho naingia kwenye usaili wa oral mwalimu wa HISABATI ngazi ya degree.
ila transcript ya matokeo sijafanikiwa kuipata orijino,nimepata kopi tu ila vyeti vingine vyote ni og, daa...
FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA!
Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania...
Waombaji ajira za ualimu waitwa usaili. Usaili huo utafanyika kati ya january 14 mapaka 24 mwezi februari 2025.
Ikumbukwe kuwa usaili huo uliahirishwa tangu october 17, 2024.
Soma zaidi
<<<...
Mko vizuri wakubwa?
Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato?
Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani...
Hatimaye mchakato wa kupata Majina ya waliofanikiwa kupenya katika Hatua ya usaili imekamilika, na Orodha hiyo tayari imetolewa ambapo mwombaji anatakiwa kuangalia status ya maombi yake katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.