Me naitwa calvin
Nina miaka 21
Nina elimu ya chuo kwa ngazi ya certificate (ugavi)
Nina lesen daraja A na D
Kwa sasa nipo gereji kama fundi umeme wa magari
NAOMBENI KAZI YOYOTE
African Union Vacancy – English Interpreter/Translator
African Union Vacancy – English Interpreter/Translator
African Union (AU)
Arusha
Location: Tanzania
Organization: African Union
AU...
Kama anahitajika mfanyakazi wa shift ya usiku...anapatikana.
Ana elimu ya Degree katika Biashara marketing and hospitality
Mjuzi na mwenye uzoefu wa matumizi ya COMPUTER, kwenye;-
Ms Word
Ms...
TMDA VS TRA
Habar wadau mpo pouwah.
Naomba mwenye kujua ni Agency ipi kati ya hizo yenye kulipa vizur?
A) Mishahara ipoje
B) Allowance wapi ni nyingi zaid..
Maana kuna rafk yangu wa karibu...
Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu...
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.
Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae...
Habari zenu ndugu zangu.
kama nilivyojitambulisha mimi ni mhitimu wa shahada ya ualimu wa somo la physics mwaka 2022 na G.P.A ya 3.7 .
Nina uwezo mzuri wa kufundisha vidato vyote (form 1 mpaka...
Habari za wakati huu wanajami mwaka jana mwezi wa 11 niliemda utumishi kwa ajili ya usahili lakini kutokana na changamoto ya majina katika vyeti vyangu nikalazimika kutafuta affidavit ili iwe...
Leo nilikua nimekaa kwenye Cafe flani nikasikia mazungumzo ya watu nyuma yangu wanabishana kuhusu malipo na mishahara ya watumishi wa serikali kati ya wanawake na wanaume.
Kwamba wanaume...
Habari wana-JF.
Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam
Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme.
Nimesomea Fani ya umeme hadi Level...
Habari za weekend wakuu?
Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona...
Heshima kwenu nyote.
Nimeamua kuanza maisha mapya baada ya kukaa nyumbani kwa muda sasa.
Sina chochote ninachomiliki kama asset na comfort zone imekuwa kikwazo kikubwa sana kwangu kiasi cha...
Nimetafakari hapa nimegundua kuna baadhi ya kazi serikali inazidharau sana.
Imagine hapo muhimbili watu wanapiga kazi kama kawaida coz ni sehemu nyeti, hapo international school of Tanganyika...
Habari zenu
Madereva 20 Wanahitajika
Ni Kiwanda cha Mafuta ya Alizeti
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam /Dodoma.
Wanahitajika wenye uzoefu wa kuendesha Magari makubwa
Mwenye Kujua kuzungumza...
Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt au Uber. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.
Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0759280756.
Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis...
Wakuu asiyekubali kushindwa sio mshindani .
Nipo hapa mnishike mkono najua JF ni familia kubwa.
Nahitaji Ajira ya office attendant Elimu yangu ni Advanced diploma. Ila sijafanikiwa kupata Ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.