Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Gari ipo Dar,natafuta tender, kazi yoyote au kama mtu ana wazo lolote zuri tunaweza shauriana namna ya kuifanyia biashara..
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Umeshatuma maombi ya kazi miezi mpaka unahesabu miaka lakini hupati kazi. Unatafuta vibarua vya kujishikiza navyo inakuwa ni mtihani. Unafanya kila kitu kujaribu kujinasua na mkwamo wa maisha...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/L/44 09 April, 2021 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of University of Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hali ni tete wadau halimanusra nijute kuzaliwa mtoto wa kiume! naitwa torvic jinsia ni mwanaume nimesoma Diploma in Pharmaceutical Science nina leseni ya baraza la famasi inahitaji ku re-new...
0 Reactions
16 Replies
798 Views
Katika kuwinda fursa za ajira na nafasi mbalimbali za kazi, yapo mengi utayasikia zikiwemo ahadi za hapa na pale nyingine zikiwa za ukweli na nyingine zikiwa zile zenye kufunza kukupima uwezo wa...
1 Reactions
1 Replies
372 Views
Peking Healthcare limited; a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of...
0 Reactions
0 Replies
521 Views
Jina: Bety Laizer Jinsia: Mwanamke Umri: 33 years old Elimu: Diploma ya Afisa Masoko Makazi: Arusha , Tanzania Uzoefu: Miaka 8 Email yangu ni tourismnewworldwide@gmail.com ,
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari. Naomba Sana kazi sipati. Kiukweli mwaka Jana nilipata fursa ya kupata kazi sehemu mbili Ila zote sikuweza kwenda maana kuna kazi ya shirika nilikuwa nalipwa malipo kama 2M bado...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
LinkedIn si neno geni kwa wengi wetu, huu ni mtandao wa kijamii wa wataalamu, Professionals ambapo kila mtu ambaye yuko interested huweka Profile yake, hii hubeba Elimu, Kazi ulizowahi kufanya, na...
30 Reactions
145 Replies
23K Views
Za asubuh..natafta tenda ya ujenzi..nina krasha inayozalisha aina zote za kokoto na dust(vumbi) ikiwemo na huduma za usafirishaji kwa tipper zenye uwezo wa kubeba 20CBM,apart from that nina kila...
0 Reactions
6 Replies
805 Views
Naitwa M ni mwajiriwa wa kampuni X inayojihusisha na maswala ya kilimo niko hapa natafuta kaz mahali pengine Mahal nilipo kwa sasa changamoto zmekuwa nying sana kwa uongoz wa kampuni nmejitahid...
0 Reactions
6 Replies
700 Views
Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi. Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya...
3 Reactions
5 Replies
861 Views
WASIFU: Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, ni mkazi wa jiji la Mwanza, wilaya ya Ilemela. * ELImu: Niimesoma na kuhitimu Diploma of Accountancy and Auditing hapa hapa jijini Mwanza. * UZOEFU...
1 Reactions
6 Replies
956 Views
KD - KIPUNGUNI DISPENSARY Mazizini Road, UKONGA. P.O. Box 20327, Dar es salaam VACANCY ANNOUNCEMENT – NURSES (1) Registered Nurse - 1 Post (2) Enrolled Nurse - 2 Posts KD – KIPUNGUNI DISPENSARY...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Habari zenu wana JF kuna dogo amepata kazi PCCB lakini hajapata barua ya hiyo ya call for employment ambazo, walisema wangetuma, dogo alitumia sanduku la barua la ofisi sasa imekuwa kero kila siku...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari wana JF
3 Reactions
17 Replies
772 Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 24, Naitwa Isack Mussa. Ni muhitimu wa chuo kikuu (UDSM) course BCOMM HRM. Nimehitimu 2021 mpaka sasa sijafanikiwa kupata ajira. Nipo hapa...
3 Reactions
1 Replies
429 Views
Kwema humu ndani? Mimi ni msomi wa level ya Bachelor degree kutoka chuo cha Dar es Salaam. Ni mwalimu wa lugha. Ni miaka 3 sasa imepita toka nimehitimu masomo yangu. Nilipanga niendelee na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Samahani wakuu nina taaluma ya mifugo (animal health and production) ngazi ya diploma ninatafuta kazi yoyote inayoendana na taaluma yanguu nina uzoefu mkubwaa kwenye field hii Kwan naweza fanyaa...
0 Reactions
2 Replies
627 Views
Wakuu nahitaji kijana au binti mzoefu anayejua kuchoma chips natoa vifaa vyote na mtaji wa viazi, mafuta nk. Awe katoro makazi ajitegemee. 0676628429
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom