Habai,
Natafuta dada wa kazi pande za Dar es Salam awe na sifa zifuatazo
1: Anajua kupika common food chapati,maandazi wali mboga,pilau vyengine atajifunza
2: Awe anajua usafi kufua ,kusafisha...
Wana jf habari za siku nyingi kidogo, umri nimiaka 29 kabila mchaga najua ili jukwaa Sio mahali kwake lakini nimelitumia Kwa sababu linawatu wengi sana wanaoenda kulitembelea.
Ombi langu kwenu...
Ndugu ni matumaini yangu ni wazima.
Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na...
Habari wana JF,
Nina imani mungu amewabariki uzima na wale ambao afya zao si njema basi Mungu awaponye kwa uwezo wake.
Turudi hapa, mimi ni Mhitimu wa shahada ya uchumi wa maendeleo ya jamii...
Habari za uzima wapendwa,
Natafuta kijana mzoefu wa kufuga kuku wa nyama na mayai ambae anaweza kujisimamia mwenyewe. Kijana huyu atakuwa meneja wa mradi wa ufugaji wa kuku. Mradi huu ni mpya na...
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza ajira mpya 135
Cabin Crew 90 (Daraja la 2)
Flight Operation Officer 7 (Daraja la 2)
Senior Pilot (Captain) 17
First Officer 17
Procurement Officer 4...
Habari za mida hii, napatikana mwanza nina uhitaji na kazi elimu yangu ni kidato cha sita ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali.
Nina uzoefu na matumizi ya computer.
Basic troubleshooting...
Habari jamani,
Profile yangu imekamilika 100%. Na vigezo vyote navyo kama bachelor ya uhasibu na CPA lakini nikiapply kazi inanambia Job application failed, check professional requirements for...
Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri.
Naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa...
Hello members,
We are experienced and professional Project Managers. We offer services in various areas of project Management.
We would like to offer services to an individual, or organization...
Natafuta kampuni au mtu binafsi , permanently, ambae nitafanya nae kazi ya ku Delivery, Documents, au bidhaa yoyote Kwa makubaliano ..
Wale ma Agents wa kutoa mizigo bandarini, nipo hapa,
Nina...
Mwenye jedwari linaloonyesha annua increment ya kila mwaka kwa kada ya ualimu tunaomba atupie hapa tuone kinachoongezeka maana ongezeko la mshahara hapo ni 50% 50%
Hivi haya maongezeko na madaraja serikali hupandisha mwezi upi? Mara nasikia mwezi wa saba mara mwakani, haya wajuzi wa mambo naomba msaada nimeajiliwa mwaka juzi tu hapa misitu.
Wakuu habarini za leo. Natumaini mnaendelea vyema.
Kiufupi ni kwamba nimesoma degree ya education (ualimu) na masters pia ya rural development. Nataka kupata nafasi jeshini na kwa bahati nzuri...
Habari zenu wadau ,samahani hawa jamaa wa Danida -ubalozi wa Dernmark walitoa tangazo la nafasi ya kazi post ni Accountant ,Naomba kama kuna Mtu ana any feedback aniambie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.