Kuna dogo ameniuliza maswali hapa, ikabidi nimwambie asubiri kidogo nimebanwa na majukumu, ila tu ni kwa sababu ya kutokuwa na uzoefu na hiyo scenario nakosa chakumjibu.
Yeye ameomba kazi zaidi...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA
TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Wapendwa habari!
Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.
Nakuja kuangalia CV...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili...
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu.
Kazi ambazo naweza kufanya
Utunzaji stoo
Mapokezi
Mauzo (sales...
Kwa nini ulipe gharama kubwa kuandika CV, fahamu kuwa unaweza kuandika cv yako kwa urahisi zaidi popote ulipo na ukaipata .Fuata maelekezo.
1. Ingia kwenye tovuti ndogo My professional CV
2...
Habari wana JF!
Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo.
Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye...
University of New South Wales is hiring a fully-funded PhD student to join our team working on Underground Hydrogen Storage (UHS) project. This project aims to study hydrogen-water multiphase flow...
Kichwa Cha habari kipo wazi sana Kama kinavyojieleza NALIA NGWENA nimeamua kutoa ushauri/ronja kwa vijana wenye ndoto yakufanya kazi za majeshi kupitia JKT/Nini Cha kufanya ukiwa mtaani kipindi...
Hi,
Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira.
Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita.
Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
The Commission of the African Union invites applicants who are citizens of Member States for a position in Directorate of Strategic Planning Monitoring & Evaluation and Resource Mobilization ...
Katika hangaika yangu ya kusaka tonge hasa katika hizi interviews za utumishi, nimegundua Kuna baadhi ya post huwa hazina waombaji wengi. Nitachukulia mfano kwa post za educational psychology...
Kichwa Cha habari kipo wazi sana Kama kinavyojieleza NALIA NGWENA nimeamua kutoa ushauri/ronja kwa vijana wenye ndoto yakufanya kazi za majeshi kupitia JKT/Nini Cha kufanya ukiwa mtaani kipindi...
Habari za muda huu
Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?
Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba...
Habarini wanajamvi, kwa anaeitaji mtaalamu wa graphic design, website and blogs development, mobile apps development na maswala yanayoshabihana na mambo ayo pamoja na mambo mengine ya ICT asisite...
Naomba kuuliza kwa ambao wanafanya kazi kwenye Bomba la mafuta la TAZAMA
Hivi wanaofanya nafasi za ulinzi TAZAMA wanavaa uniform au wanavaa tu kiraia?
Na je kama una uzoefu wa kazi hii ukipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.