Who We Are
Girl Effect builds youth brands and mobile platforms to empower girls to change their lives
We’re a creative non-profit empowering girls to change their lives. Started by the Nike...
Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo...
Mtoto wa masikini course zake zinajulikana. Ni
udaktari
Kilimo na uvuvi
Ukizidi Sana ualimu wa kingereza au science
Mtu unasoma HR hata sehemu ya kujitolea kupata tu ni mziki mnene kuzidi hadi...
Habari wakuu!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, hivi kweli wizara kubwa nchini ambayo inashughulika na maslai ya watumishi nchi nzima inakuwa na ufanisi mbovu kiasi hichi? tunashida lakini...
Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato?
Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili.
Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA
Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na...
Habarini wana jamii
Naitwa Oliver Prosper
Elimu kidato cha 6 (St. Anthony)
Umri 30
Wanajamii mimi binti ambaye ni yatima tokea baba yangu afariki maisha yamekuwa magumu sana
Nawaomba mwenye...
Naomba msaada kwenye kujaza hii ajira portal. Kila kitu nimeshaweka, pamoja na vyeti vya masomo ambavyo vimethibitishwa na mwanasheria.
Lakini mwishoni pale chini kwenye Academic qualifications...
Habari ndugu,
Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani . Nimefuatilia kwenye website yao, lakini maelezo yao hayajitoshelezi...
Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?
Authors, trainers, motivators, consultants, councillors, inspirers, and teachers in any field.
Kama una uwezo au ujuzi katika...
Habarini za saa hizi.
Nimejiunga muda mrefu sana hii portal ya ajira ila mpaka naandika hii thread haijawahi kukubari ku-upload picha.
Nimekuwa nikiapply inaniandikia Job Appl... FAILED nikajua...
Nasumbuliwa na Dogo langu nashindwa kuelewa, je majina wanayotoa Utumishi kwa ajili ya kuwapangia vituo vya kazi yanahusiana na interview iliyofanyika mwezi wa pili mwaka huu?
Au ndiyo...
Habari zenu ?
Matumaini yangu nyote ni wazima wa afya mimi ni kijana wa kiume wa miaka 25,elimu yangu ni kidato cha sita nina uwezo wa kutumia computer vizuri sana na nishafanya kazi za research...
NAFASI ZA KAZI
Posts: 2
-Elimu kuanzia form four
-Uwe unajua kutumia computer, nb kama hujui computer usiombe plz
-Ukiwa na certificate ya computer ni kigezo cha nyongeza
-Kama una degree au...
1. Conduct Research on the Employer, Hiring Manager, Job Opportunity. Success in a job interview starts with a solid foundation of knowledge on the job-seeker's part. You should understand the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.