Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria )
Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
Wakuu Salaam!
Kuna kamsemo wazungu wanakipenda kukisema 'If you not making money then your making nonesense.
Naomba wenye highlights na dondoo chache just in brief summary watufahamishe ni jinsi...
I'm Doto from Temeke Toangoma Dar es salam, 26 yrs old.
I'm here looking for housemaid job please can you help me, I have 5 yrs experience for housekeeping and 1 yr babysitter. I know to cook...
Habari zenu humu,
Mimi ni kijana wa kiume umri wangu 24 ni fundi umeme wa magari nimejiajiri ila game ni ngumu sana huku mtaani hvyo natafuta kampuni au taasisi yoyote yenye uhitaji na fundi...
we are seeking to recruit very aggressive self motivated persons as sales representative in our company based on commision , we are a very reputable insurance company in east and central africa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,nimekuwa nikijaribu kutafuta kazi ya udereva kwa muda mrefu bila mafanikio mpaka nafirikia kwenda kusoma tena operator ili kuongeza wigo wangu katika soko la...
Habari za wakati huu Wana JF, naitwa bless nina miaka 24, elimu yangu kidato Cha 6. Natafuta kazi viwandani, supermarket au kampuni binafsi nina uzoefu na u- cashier yeyote ataeweza nisaidia...
Wadau kuna tangazo la kazi serikalini pamoja na kutuma vyeti Online kuna Kuweka na Picha yangu.Naomba msaada namna ya kuiweka hiyo picha hatua zake ili niweze kuituma.
Sent using Jamii Forums...
Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya.
Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20...
Shule ya msingi Nzivi Green Star English Medium iliyopo Mufindi Iringa inatangaza nafasi ya ualimu.
Mwalimu wa kike wa masomo ya kiingereza/primary anahitajika haraka.
VIGEZO
1. Awe na uwezo...
Habari,
-> nipo dar (kibamba)
Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline
Biashara ya...
Habari wakuu,
Kwa mliowahi kutuma maombi ajira portal ya sekretarieti ya ajira.
Hivi unaweza kuitwa interview sekretarieti ya ajira bila kusatifai vyeti.
Rejea kichwa cha uzi, mimi ni kijana mwenye degree ya ualimu natafuta kazi ndani ya field na hata nje ya field ya Elimu. Uzoefu ni katika kazi ya ualimu, cashier katika hospitali na Supervisor...
Habari zenu naomba kujua kuhusu hii kampuni ya asilia kwa aliewahi kufanya kazi hapo anisaidie kufahamu kuhusu mikataba yao interview zao na mazingira yao ya kazi
Shukran
Kufanyakazi kwa bidii zote.
Usimssikikize mtumishi mwenzio fuata sheria za kazi.
Jambo usilolijua la kiutumishi kabla ya kuchukua hatua uliza. Usiwaulize watumishi wapya uliza wale senior.
Fomu...
Kwa kutambua mapambano ya ajira katika uzi huu basi niwatakie wapambanaji na wana JF kwa ujumla , heri ya kufurahia sikukuu hii ya EID EL FITRI
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.