Kwa wanaotafuta kazi hii inawahusu sana.CV yako hakikisha haina haya makosa
_______________________
Wiki iliyopita nilipata nafasi ya kuchakata maombi ya kazi ya taasisi moja binafsi hapa nchini...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetangaza nafasi za kazi 42 katika taaluma mbalimbali kwa Watanzania wasiozidi umri wa miaka 45 kuanzia leo Ijumaa Aprili 21, 2023 na mwisho wa kutuma...
Nina carwash naitaji mtu ambaye atakua tayari kutafuta hata contract katika kampuni yeyote tuoshe magari yao ikiwa Kama truck kuanzia hata 50 kuendelea.
Semi (aina Yoyote iwe body au mkeka)...
Tangazo la Nafasi ya Kazi
Anahitajika Secretary Mwenye ujuzi wa miaka isiyopungua miaka 3 kazini, Awe amesoma kwenye vyuo vinavyotambulika hapa Tanzania au nje.
Umri usiopungua miaka 35 na...
Tangazo la Nafasi ya Kazi
Anahitajika Secretary Mwenye ujuzi wa miaka isiyopungua miaka 3 kazini, Awe amesoma kwenye vyuo vinavyotambulika hapa Tanzania au nje.
Umri usiopungua miaka 35 na...
Kwenye nafasi hizi kuna ile ya kada ya afya ambayo ndani yake ipo nafasi ya ustawi wa jamio daraja la II.
VIGEZO: Uwe umesomea social Works, sociology, na related education concerned post hiyo...
i) C28
II) C40
III) Latra
iv) Comesa
v) Insurance
vi) Fire safety sticker
Kuna tangazo la kazi nimeona inahitaji mtu awe na mzoefu wa kazi katika vitu hivyo hapo juu. Kama kuna mtu yeyote anajua...
Tunahitaji Mhazili - Secratarial awe mwanamke kati ya miaka 20-35, mwenye cheti cha uhazili na uzoefu wa kufanya kazi kwa kujitegemea. Awe na uwezo wa kufanya muda wa ziada walau mpaka saa 2...
Habari za kazi wakuu,
Mimi ni dereva umri wangu ni miaka 25 na ni mkazi wa Dar es Salaam, ninahitaji ajira/kibarua cha kuendesha gari ya kampuni, shule, daladala au gari binafsi. Nina vyeti na...
Kwanini account yangu kuna muda na log in inakubal ila niki log out kwa siku moja au mboli inakuwa tena inactive nikiwa na login msaada nifanyaje maan nimeshajarib ku activate lakin inasumbua...
Jaman naomba msaada nimepata changamoto ajira portal
Kwenye academic Qualification Kuna cheti nimekosea kuattach ila komesaviwa Sasa kinaonekana kwenye saved academic Qualification ,nataka kukitoa...
Kuna kipindi nilileta uzi wa kutafuta 'animators'/ watengenezaji wa video za katuni; Sikufanikiwa kupata wajuzi, ili niweze kuwapa ajira.
Nimegundua hii 'field' wengi hawana ujuzi, kwa hiyo...
Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni.
Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi.
Naongelea ile mtu...
Mimi ni kijana mwenye degree ya Human resources management natafuta kazi ndani ya taaluma yangu au hata nje ya taaluma yangu Uzoefu ni katika kazi nimeshawahi kuwa Sales officer na pia nishakuwa...
Hii PDF niliyoweka hapo chini kila mmoja ha akikishe ameifungua n ame apply kazi anayoiweza maana Pana fursaa za kilaa aina, hizo ni kazi katika taasis za umma Tanzania, kazi zilizopo hapo n...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.