Wote tunafahamu utaratibu huu baada ya msailiwa kufanya usahili wa mahojiano na ikitokea amefaulu na nafasi hazikutosha hua anabaki kanzidata na ikitokea nafasi anapangiwa kutokana na kada yake...
Wadau ni njia ipi ya uhakika ya kutuma barua za kuomba kazi kati ya EMS na posta kawaida,
Naombeni ushauri!
EMS ni Huduma ya Posta pia Ambayo yenyewe huwa ina malipo makubwa ukilinganisha na...
Wana jf habar zenu,,, jaman mi muda mwingi sina kazi na Nina smartphone kutwa nashinda online lakini ni jobless ni kuunga bando tyu na kuslide duniani
.
Nisaidieni jinsi bando langu kupitia...
Moja kwa moja kwenye mada...
Vijana wengi wanamaliza vyuo kila mwaka ilihali wengine bado tuko mtaani hawajui hatima ya maisha .
Kwa interview baadhi yao wanaitwa lakini nyingi ni kama danganya...
Naomba kazi wadau elimu ni kidato Cha nne naish ruvuma/songea kwa mweny connection au Kaz Niko yoyot ile ya duka,kampuni me Niko tayar namba zangu 0688272847
Nina akaunti kwenye mfumo wa TAMISEMI, ambayo kwa miaka ya nyuma nimekuwa naitumia kuomba UALIMU, mwaka huu nimeamua kubadili niombe nafasi upande wa AFYA, ambako nina sifa pia baada ya...
Mimi ni dereva natafuta kazi ya udereva. Nipo Dar Es Salaam, Kijichi
Leseni Yangu ni Class C1,E,D. Nina Uzoefu Wa Miaka Miwili
Cv
(1)Elimu Form 4 cheti
(2)Cheti Cha Udereva
Umri wangu miaka 26...
Kampuni ya mabasi ya ABC imetangaza nafasi za kazi kwa wahudumu wa mabasi (Bus Hostess) ambapo kuna vigezo kadhaa unatakiwa kuwa navyo.
Kigezo kimoja wqpo ni Bachelor Degree in Public Relation...
Mimi ni kijana mwenye miaka 25 Nimehitimu shahada (degree) ya Community Economic Development (CED) hivyo mimi pia nimuhusika mkuu katika kazi za Social Works, Social science, Community fields...
Wanajamvi kweny hili sakata la kujaza maombi ya hizi nafasi zilizotangazwa na TAMISEMI.
Ninatengeneza account lakin taarifa za NIN napoweka naambiwa sio sahihi ama majibu yangu sio Sahihi.
Je...
Wakuu humu kuna wakubwa zetu mlio tangulia, msaada vyeti vya kuomba kazi tunaweka vilivyokuwa certified au original.
Natanguliza shukurani hasa kwa wale waliopo kazini kupitia tamisemi.
Habari wana jamii forum,
Natafuta kazi yoyote ile iliyo ndani au nje ya field yangu. Details zangu kwa ufupi.
Age:25
Education level: Bachelor degree in Bussiness Administration.
Work...
Wakuu msaada wa haraka mwenye uwelewa, nimetuma maombi yangu kuanzia jana nimekwamia hapa kwenye kuchagua mkoa wa kupangiwa kazi.
Kila nikiclick hapafunguki kunipa option ya kuchagua ni kama...
Jinsia: Mwanaume
Elimu: Degree 1
Uzoefu wa kazi: Miaka 5 na miezi kadhaa sekta binafsi
Naweza kuja mkoa, wilaya yoyote kufanya kazi
UZOEFU WA KAZI
Administration officer
records and cashier...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.