Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Nafasi za kazi zinatoka lakini haziwafikii walengwa ambao wengi ni mafundi wazuri waliohitimu VETA. Mnazipenyeza kwa ndugu zenu nafasi hizo na zote mnagawana maofisini. Jamani wengine ambao...
5 Reactions
27 Replies
9K Views
Ikumbukwe sasa hivi manunuzi yote serikalini yamesimama kwa sababu ya mafungu kuisha hivyo kupelekea kusubiria hadi mwaka wa fedha wa unaokuja. Na mwaka wa fedha wa serikali ni kuanzia mwezi wa...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
Kuna tatizo la kujieleza wakati muomba kazi anapoenda kwenye usaili. Uzoefu unaonyesha kuwa wasailiwa wengi huwa wanachanganyikiwa na kushindwa kujibu maswali kwa ufasaha na kujikuta wanakosa...
5 Reactions
273 Replies
99K Views
Habari. Naomba Tusaidiane kuhakikisha kila mmoja mwaka huu anapata kicbaka chake cha kujificha nwaka huh(Ajira). Sasa Nakaribisha swali gani ushawahi kukutana nalo kwa interview na uljlijibuje...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Ninatengeneza akaunti ya kuombea ajira kwenye website ya TAMISEMI. Lakini kwenye kuhakiki taarifa zngu za nida nimeombwa number niliyosajilia NIDA ila nimesahau hyo imepelekea nishindwe...
0 Reactions
4 Replies
526 Views
1. Connection huna...!? 2. CV/RESUME sio nzuri...!? 3. Working Experience yako ndogo/huna...!? 4. COVER LETTER yako sio nzuri...!? 5. Hujui kwanini unakosa hizo Chance...!?
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Poleni na majukumu Wana JF, Ni matumaini yangu mpo wazima wa afya tele. Mm ni mtumishi wa mamlaka ya maji X. Ombi langu kwenu ni kunisaidia zaidi kimawazo kwamba nitumie njia gani hasa niweze...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Huku mtaani kugumu jamani kwa anaejua matokea ya hizi applications ni lini dah
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello Wapendwa ! Naomba Msaada wenu kwa wale waliofanikiwa kuendelea na kumaliza mchakato wa maombi ya ajira kada ya UALIMU. Nimejaribu kufanya usajili (registration) lakini mfumo unagoma "...
1 Reactions
3 Replies
816 Views
Hivi ikitokea kaz moja wamepewa nafasi ya kuomba watu wenye kada tofauti tofauti, maswali ya interview hubase kwenye nini? Mfano watu wa Law na business adiministration wakiomba kazi moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba msaada kwenye barua ya maombi ya kazi kwenye ajira portal pale kwenye barua unawaadress utumishi au unawaandress ile taasisi iliyotangazwa pale inayoitaji wafanyakazi mfano labda...
2 Reactions
20 Replies
18K Views
Nimeona waliopata nafasi za Tamisemi(Ualimu na Afya) wameanza kuhamasishana ili wabadilishane vituo vya kazi. Unaanza kukosoa kazi uliyopata ambayo uliiomba? kweli! acheni masikhara.. Kuna watu...
9 Reactions
96 Replies
7K Views
Kutokana na nyuzi nyingi kuja humu jukwaani kwa minajili ya kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya Afya, ipo haja ya kuwa na uzi mmoja utakaokusanya, kujadili na kujibu maombi yote ya...
1 Reactions
89 Replies
28K Views
Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa wale wajuzi wa mambo tupeane maujuzi ya jinsi ya kupata tenda ndogondogo na kubwa kubwa mfano tenda za ujenzi wa majengo mbalimbali ya serikali kama zahanati katika halmashauri za wilaya zetu.
1 Reactions
73 Replies
22K Views
Habari zenu wanajamii, Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina miaka 25, mhitimu wa chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU). Nimesomea shahada ya sanaa katika Uchumi wa Maendeleo ya jamii (Bachelor of...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka...
4 Reactions
111 Replies
7K Views
Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha? Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Location - Tanzania Salary - USD3000 to USD4000 plus accommodation, vehicle and medical aid, depending on experience Our client is a large established agricultural organisation who is looking for...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wadau,naombeni msaada kidogo,huwa ninaomba ajira za nmb bank kupitia site yao https://careers.nmbbank.co.tz/ lakini cha kushangaza sijawahi kuitwa hata katika interview au hata kuambiwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom