JOB OPPORTUNITIES
A Tanzanian IT Company in Dar Es Salaam is looking for:
1. Stationery/Café Attendant (1)
2. IT Officer (1)
3. IT Sales Officer (1)
4. Accountant Cum Office Admin (1)
5. IT...
Nafasi ya kujitolea kwa Dereva, awe amepita NIT.
Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.
Awe tayari kukabiliana na Mazingira ya kazi.
Akiwa fundi itakuwa sifa ya ziada pia.
Mawasiliano: 0759330546
Jaman naomba kwa wale ambao mnauzoefu na haya maswala ya application ajira portal mnielekeze nb maana nimekuwa muanga wa kila kukicha kufuatilia majina ya usahili kwa nafasi ya postal clerk ambayo...
Ninahitaji vijana wachache ndani ya Wilaya ya Mbogwe kwa ajili ya kuanzisha nao miradi wa kuozesha taka za sokoni kuwa mbolea nzuri ya shambani kwa muda mfupi kwa kutumia njia ya kibaiolojia ya...
The School of St Jude hereby invites interested members of the public to bid for the purchase of 1,200 litres of dirty (used) oil from motor vehicles routine services.
Please click to read the...
Habari ndugu zangu mimi kijana pia baba wa familia nategemewa naangaliwa mimi nipo Dar es Salaam najishughulisha na biashara.
Sasa hivi napitia changamoto sana kodi yangu imeisha pia biashara...
Tangu Mama ameingia madarakani amerejesha matumaini ya ajira kwa vijana wa kitanzania kulinganisha miaka 6 kabla yake. Hii Ni baada ya miaka yake miwili kuajiri kada ya elimu na afya.
Na hili...
Habari zenu wakuu, Kwa majina nahitwa HAMISI JUMA IBRAHIM Nina Degree ya Business Administration natafuta kazi yoyote mkono huende kinywani ila hata ya kufundisha kama ni College Kwa masomo ya...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 elimu yangu ni kidato cha sita.Naomba mnisaidie ajira yoyote ile ya kufanya itakayoniingizia kipato mimi napatikana...
Je, Unatumaga Maombi ya kazi/ujumbe/document kwa njia ya Email na huweki Subject na body of Email?
Je, Umetuma maombi mengi ya kazi kwa njia ya Email na hujapata majibu?
HII HUENDA NDIO SABABU...
Yes, It's me again.
Nimechoka na Hela za kula. Sitaki uje na idea ya million 10, 20 , 330 hizo Hela za kula.
At least anzia deal la 50M. Deal lolote.
Ila isiwe tu mambo ya bendera yenye rangi...
Wapendwa habari zenu
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili...
Mimi ni kijana umri miaka 26, mwenyeji wa mkoa wa songwe ambako ninaishi mpaka sasa.
Nimemaliza kidato cha nne na kupata div 2 point 20 mwaka 2015, nilifaulu vizuri masomo ya sayansi hivyo...
Habari wakuu,
Mimi nina umri miaka 24 elimu yangu ni kidato cha nne nilipata division 2 nina basic Technician Certificate in Computer science hivo naomba mweny kibarua tusaidiane kuinuana kazi...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka...
Kijana mmoja toka kinyanambo ambae hujishughulisha na kuendesha bajaji Mafinga mjini, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kunyang'anywa bajaji. Kwa muda mrefu alikua akitumia kufanya kazi huku...
Habari zenu wanajamii,
Mimi ni kijana wa kitanzania, nina miaka 24, mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam. Nimesomea shahada ya sanaa katika isimu na fasihi (Bachelor of Arts in linguistics and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.