Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari za leo wakuu. Mimi ninaishi Kibaha, nina uhitaji sana wa ajira, nipo tayari kufanya kazi yoyote tu hata nje ya field yangu. Nimesoma Agribusiness pale SUA ila ninaweza kufanya kazi yoyote...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Dear sir/madam Natafuta naishi dar es salaam gongo la mboto natafuta kazi yeyote au kibarua cha kuendesha maisha a) Nina umri miaka 24 b) Sijaoa c) Taaluma yangu accounting & finance...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Naitwa Seif Maulid naishi Kinondoni, Dar nimemaliza kidato cha nne chet nnacho pia mm dereva nilikuwa naomba wanajukwaa tupeane connection wapi kazi zipo tupeane ramani.
0 Reactions
2 Replies
310 Views
Habari za mda huu ndugu zangu, poleni na hongereni kwa mapambano ya maisha ya Kila siku.Nisiwachoshe ngoja niende moja kwa moja kwenye lengo la hii mada Mimi ni mfanyakazi katika moja ya vyombo...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Me sina cha kuongezea maana nasoma na kurudia kusoma, huyu mtu anayetakiwa hapa ni wa namna gani!.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ajira portal kama hamuwezi kuwasaidia watu hamna haja ya kuwa na help desk, maana mtu anakuwa na shida anawapigia toka asubuhi mpaka jioni, simu ipo busy, na ikiita haipokelewi. Kwanini msiajiri...
2 Reactions
7 Replies
737 Views
Wakuu habari za jioni! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nauliza mfano umepata barua ya uhamisho kutoka wizara moja kwenda nyingine mfano tarehe 15/02/2023 ndio umepokea barua ya uhamisho na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Uchoyo sio mzuri. Kazi kwenu
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari natafuta mtaalamu wa IT. Sepically software engineer au hadware engineers ambaye yuko eager kuwa part of our technical start up team in Clean Energy. Contact me for farther discussion...
0 Reactions
2 Replies
298 Views
Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu. Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati...
31 Reactions
118 Replies
16K Views
Habari zenu. Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
0 Reactions
2 Replies
369 Views
Habarii wakuu; Naombenii msaada Mbinu za kujiandaa na written interview utumishi vitu gani unatakiwa kuvizingatiaa zaidii?
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Habari, Niko nataka nianzishe chanell youtube. Natafuta mtu wa kupartner kuanzisha kufanya kazi. Video editing sifa Awe hana kazi Kama ana kazi bas asiwe bize sana kiasi cha kukwamisha hii...
0 Reactions
5 Replies
746 Views
Habari za hapa. Natafuta Manager wa shamba lipo Kigamboni Dar es salaam ambapo tumeanza kufuga mbuzi na baadae bata kisha samaki na kadhalika. Tutakuwa na kilimo aina tofauti ila hasa cha chakula...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za humu wakuu nahitaji msaada wa kupata nafasi ya kujitolea katika makampuni au mashirika tofauti tofauti nikiwa nimemaliza bachelor of science in multimedia technology and animation...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu great thinkers. Natafuta mshirika/washirika ambao tutafanya kazi kwa pamoja katika kutengeneza softwares zitakazotupa utajiri. Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa ngumu lakini tuna...
2 Reactions
4 Replies
631 Views
Habari za uzima wadau? Bila kupoteza muda naomba niende kwenye maada directly. Hili suala la ucheleweshwaji wa placements, hakika limekua tatizo kubwa sana ambalo moja kwa moja wanaoathirika ni...
3 Reactions
0 Replies
949 Views
Je Kujitolea ni sahihi kutumika kama kigezo cha kuajili nchini? Juzi kuna mjadala bungeni mh spika Tulia Akson alitoa Rai kwa wizara ya Afya na tamjsemi na utumishi wa umma kuangalia zaidi watu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nahitaji msaada wa kazi yoyote ya halali, maana hali ni mbaya kwangu. Niko tayari kwa kazi yoyote, maana ntaisha kwa njaa. Nisaidieni jamani.Nipi boko Dar.
0 Reactions
2 Replies
647 Views
Habari! Nimemaliza bachelor ya Account lakini piah nina diploma ya Account Msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa kampuni au ofisi inayohitaji mhasibu iwe nafasi ya kazi au volunteer kwa level ya...
2 Reactions
1 Replies
834 Views
Back
Top Bottom