Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya...
1 Reactions
5 Replies
750 Views
Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye...
3 Reactions
2 Replies
526 Views
LIZONA ENTERPRISES LTD iliyopo mkoani Mwanza inawatangazia nafasi za kazi kwa watu wote wenye sifa. Nafasi Za kazi ni kama ifuatavyo :- Msimamizi mkuu na Mtawala(1) Wauzaji wa bidhaa(15)...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Napenda na natamani kujiunga na mafunzo ya JKT hivi natakiwa niwe na sifa zipi na ni muda gani hua zinapatikana.
0 Reactions
2 Replies
396 Views
Nina jamaa yangu amesoma BA with Education (Economics and Commerce) Ameajiriwa kama Mwl Secondary na Mwaka jana alipanda daraja TGS E. kuna nafasi imetokea halmashauri anayofanyia Kazi wamemwabia...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Nafikilia kufanya uamuzi wakujivua uanachama wa simba sport club.
1 Reactions
2 Replies
430 Views
Niende moja kwa moja katika mada. I have business plan ambayo ninauzoefu nayo. Hii sio idea mpya bali ni idea ambayo inatumika sana nchi za China, Japan na Korea katika kutengeneza strong...
23 Reactions
107 Replies
6K Views
Exciting Internship Opportunity: World Vision Tanzania: Arusha Are you looking for an exciting opportunity to start your career life? World Vision Tanzania now offers six month internship...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nimekuwa nikipiga simu ya utumishi wa umma ambayo ni 0262160240, tangu jana kutwa nzima nawapigia lakini simu yao inatoa maelekezo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimetumiwa sms kutoka taesa kuwa nimechaguliwa idara ya huduma za uangalizi, Naomba kujua hii idara ina deal na nn Wana JF?
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wakuu. Kama kichwa kinavyoeleza. Natafuta mdau aliyewahi kupiga kazi kama unskilled labour kwenye hiko kiwanda cha Almarai. Niliwahi kuwa kwenye mchakato bahati mbaya nikapoteza...
2 Reactions
3 Replies
856 Views
Habari jamani anayefahamu vigezo na process zote za kupata mikopo hii isiyo na riba kwa vijana ambayo mama ameiachilia atuambie hapa tuanze mchakato.
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Hello, I hope all of you are doing fine, I am young boy 23 years old right now, I'm writing here for you brothers and sisters and all members of jamii forum to inform you that I need any kind of...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau,heri ya mwaka mpya.anayefahamu mishahara ya swissport kwa ngazi ya air ticketing officer anifahamishe wanalipaje asanteni
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari! Naitwa Mathei, umri ni miaka 26 ni graduate wa Education &information and Communication technology ( ICT)katika level ya degree. Biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka jana mwezi September nilienda usahili pale utumishi Dodoma na niliweka mrejesho hapa. Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya Kimsingi mimi...
16 Reactions
46 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, mimi ni dereva mwenye uzoefu na hii kazi kwa muda mrefu. Mkataba wa Kawaida hesabu 150,000 kwa wiki. Mkataba mkuu 200,000 kwa wiki na huu tutatizama muda na upya wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote...
1 Reactions
3 Replies
713 Views
Wafanyakazi wanaofanya kazi chini ya hospitali za kidini, yaani muajiri wao ni FBO lakini wana check namba na wanalipwa mshahara na serikali, Je Inawezekana mfanyakazi huyu kuhama kuhamia kituo...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Back
Top Bottom