My name is Patrick, and I am a holder of a bachelor's degree in Taxation since November 2022. I would like to ask for an opportunity to intern with any company that has titles related to tax...
Kwenye matangazo ya ajira za ualimu na afya kuna kipengele wameandika kua Kama umeshawai kuajiliwa na kuacha kazi, kufukuzwa, kuachishwa au kustaafishwa serikalini hautakiwai kuomba kazi tena...
Habari wana jamvi wa jf,
Jana nilipost uzi nikiomba kujua ngazi za mishahara kwa shirika la reli la tz TRC kwa TRCS3 na TRCS4 kwasababu nina mdogo wangu kachaguliwa commercial assistance office...
Habari Wakuu poleni na majukumu.
Naombeni Msaada Tutani Wakuu.
Mwishoni kabisa mwaka Jana niliamua kufungua akaunti ya ajira portal na Mimi ili nikiona kazi niombe Ila Kuna changamoto so unajua...
Mimi nina ujuzi wa ufundi ujenzi nimesoma Veta kwa miaka mitatu, nimefanya kazi mtaani kwa muda wa zaidi ya miaka mitano kwahiyo nina uzoefu. Nasoma ramani, nachora ramani za majengo na pia...
Habari wanajukwaa, Mimi ni mtumishi halmashaur x, ila naomba ushaur wenu kozi nzuri ya kuwa planning officer Kati ya hizi.
Project planning and management, population and development planning...
Hizi kazi zimekuwa nyingi na hakuna watu wa kuzifanya mpaka UK inatafuta wafanyakazi kutoka nje.
Jaribu bahati yako, ukweli ni kazi za kuangalia wazee,
sasa wewe kama unaona haikufai, pita...
Habari.
Unajua ninashindwa kuelewa waajiri wametarget kitu gani katika kuajiri.
Tangu nimemaliza chuo nimebahatika kufanya kazi sehemu tofauti nne ndani ya kipindi cha miaka mitatu.
Sijawahi...
KOZI AMBAZO SIMSHAURI MTU KUSOMA NI HIZI ZIFUATAZO
1. PROCUREMENT
2 .FOREIGN RELATION
3. BUSINESS ADMINISTRATION
4: HUMAN RESOURCE
5: ENGINEERING
6: BCOM
7: MD
8: SOCIOLOGY
9: ComMUNITY...
Habari Wana Jf,
Mimi ni binti wa miaka 27 nimesoma diploma ya uhasibu na tangu nimemaliza sikubahatika kupata kazi zaidi ya kufanya biashara ndogo ndogo nazo zimekufa kwa kukata mtaji.
Sina...
Mimi naamini hakuna binadamu aliezaliwa hapa duniani akashindwa kufanya chochote ambacho binadamu mwenzie anafanya bila shida, siongelei professionals ambazo zinahitaji special training hapana...
Je wajua hili dude (Advance Payment) linavyotumika kwenye taasisi nyingi za umma ikiwemo na tanapa?
Nategemea kufanya uchambuzi soon kuwahabarisha lilivyotumika na linavyotumika hadi sasa...
Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers.
Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale...
Hii kauli ameitoa leo Mh.Pombe akiwa viwanja vya furahisha jijini Mwanza Magufuli amesema bado anaendelea na zoezi la watumishi hewa ikumbukwe mwezi wa sita alitoa kauli ya kwamba amesimamisha...
Nahitaji kuuliza kitu zile nafasi za kazi za TRA (Mamlaka ya Mapato Tanzania)wakati zimetangazwa zilifanya consideration kwa Nchi zote mbili yaani Tanzania na Zanzibar!
Sasa leo hii nimekutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.