Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari zenu, Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni kijana wa miaka 21. kazi katika Mashirika, Makampuni, Viwandani Maofisini na Madukani... Elimu yangu kidato cha nne
0 Reactions
7 Replies
583 Views
Habari, Nina jirani yangu amehitimu mwaka jana, hapo udsm anashikilia shahada ya elimu ya awali na makuzi ya watoto. Kwasasa yupo Dar es Salaam, kama ni mmiliki au una-connection basi sio mbaya...
0 Reactions
6 Replies
326 Views
Kujitolea ni kwenye charity works sasa sielewi profitable organization kwanini zinataka mtu ajitolee. Kujitolea ina maana graduates (ntaongelea hawa watu) hawana thamani kwahiyo ili kupata...
11 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wapendwa Nimesikitika sana baada ya mdogo wangu ambaye kwa sasa ni jobless yapata miaka 4 akihangaika na nssf na psssf kwa kipindi cha miaka 3. Huyu mtu amechangia kwenye mifuko miwili...
1 Reactions
2 Replies
525 Views
Hello, Find bellow employment Opportunity at Callab Tanzania Biomedical technician Logistic and Admin Assistant ========= Position title Intern- Admin and Logistics Assistant Description...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Ninahitaji vijana wenzangu watakaokuwa tayari tushirikiane kufanya kazi kwa kutafuta masoko ya bidhaa zetu ambazo ni...
3 Reactions
2 Replies
643 Views
Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni. VIGEZO 1. Gari iwe na dereva wake. 2. Dereva atalipwa na mwenye gari. 3. Tani 3. 4. Gari itakodiwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za...
13 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari wana JF, Pasipo kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtumishi kwenye Halmshauri X, nimeajiriwa kama afisa mtendaji, ila kwa bahati...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari, Kama utumishi wataaamua kuchukua watu wote walioko kwenye database. Je, hakutakuwa na umuhimu wa watu kuapplai upya. Mfumo wa database ni mzuri Ila waupitie upya.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalam wana jamvi, Kokote nitakapo pita nikiziona fursa uwa nakuja na kuwaletea wadogo zangu wa JF wakati nipo bandarini niliziona fursa nikaja nazo humu nikazileta ila nilibezwa sana mara oooh...
7 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu kwema wanahitajika vijana kwa ajili ya kufanya delivery katika jiji la Dar es Salaam umri ni kuanzia miaka 20 mpaka miaka 27 na lazima wawe na ujuzi wa kuendesha pikipiki Kwa mawasiliano...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini, Nahitajika mtu aliesomea kozi ya addo na mwenye vyeti vyote kwa ajili ya uuzaji wa duka la dawa - Jinsia awe ni wa kike - Umri wowote ilimradi awe anajitambua sana - Sehemu ya kazi...
0 Reactions
9 Replies
687 Views
Habarini wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale..Mimi ni kijana ninaye chafuta kazi ya udreva ..vyombo ambavyo Nina uzowefu navyo ni pikipiki,gari ndogo mf Noah na zinginezo, roli, bajaji mwenye...
4 Reactions
9 Replies
755 Views
Natafuta kazi ya operator backhoe loader na excavator pia loader kwa yeyote mwenye connection naomba msada
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni kujua nature ya maswali ya hivi karibuni kwa wale mliofanya interview utumishi kwa Kanda mbalimbali, zaman tulizoe kila usaili maswali ya research ,saiv kukoje nipen mwanga kidogo jamani.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana JF Nitoe shukrani kwa mtu alienipatia wazo nianzishe thread hii hapa ili watu tofauti tofauti wasome na huenda nikapata mawazo au njia nzuri ya kusaidika. Mimi ni...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Mchakato wa ajira ni utaratibu wa kupata mtumishi wa kumwajiri. Mchakato huu unaanza katika hatua ya kupata kibali cha ajira, kutoa tangazo la ajira, kupokea maombi ya kazi,kufanya uchambuzi wa...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Jamani naandika kwa uchungu sana, mwenzenu nina miaka saba sasa tangu nimemaliza chuo sijawahi bahatika kupata ajira popotee. Nilisoma BBA baada yakuona mambo magumu nikaenda driving nasasa nina...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom