Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana...
8 Reactions
177 Replies
18K Views
=========UPDATE======== NAFASI ZIMEKWISHA JAA, NA HILI TANGAZO LIMEFUNGWA, ASANTE. ================ Hello bosses and roses... Anahitajika binti wa kufanya majukumu yafuatayo kwenye kampuni...
5 Reactions
12 Replies
334 Views
Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale...
2 Reactions
20 Replies
8K Views
Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali. Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria...
4 Reactions
30 Replies
510 Views
HABARI !!!NAHITAJI KIJANA WA KIUME ANAEJUA KUPAKA KUCHA RANGI,KUBANDIKAKUCHA, NA KUBANDIKA KOPE ENEO :KATORO- GEITA MAWASILIANO 0693795737 MSHAHARA MAELEWANO Sourc: Ajirazone,on Instagram @ajirazone
2 Reactions
4 Replies
195 Views
Nakumbuka nliona tangazo la kazi, mshahara laki 370,000 kwa mwezi limebandikwa kwenye nguzo ya umeme, nikapiga namba ya simu, nikaelekezwa mahali ofisi ilipo, hiyo ofisi ipo mbele ya jengo la TCRA...
37 Reactions
230 Replies
34K Views
Habarini ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,elimu yangu ni form 2.Sikuweza kumaliza shule kwa sababu maisha ya nyumbani sio mazuri familia yetu ni ya mama mmoja na watoto watatu...
7 Reactions
100 Replies
5K Views
Kuna kakazi sehemu nataka nikaombe kazi inahtajika CV na mimi sina naomba mnipe sample wakubwa
4 Reactions
15 Replies
701 Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
22 Reactions
15K Replies
1M Views
Mwenye connection na tcu anisaidie
3 Reactions
2 Replies
172 Views
Salamu, ndugu jobless wenzangu, hivi sisi tusiokuwa na koneksheni tufanye Nini tutoboe? Maana Kila post ya ajira za vyombo vya dola tunalishwa maneno kwamba "Bila mbanga huko juu hutoboi, nenda...
3 Reactions
14 Replies
697 Views
Wakuu habari, niliomba kazi taasisi flani ya umma (utumishi) sikupata nafasi jina langu likahifadhiwa kwenye database juzi kati kuna mkeka wa kuitwa kazini umetoka na jina langu likiwemo kwenye...
18 Reactions
134 Replies
4K Views
Mwezi May 2024 Jeshi la Polisi lilitoa tangazo la ajira kutokana na viwango vya elimu na kada mbalimbali. Tar 22/07/2024 Tangazo la kuitwa kwenye usaili lilitangazwa, ambapo kwa Tanzania bara...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
2 Reactions
1 Replies
201 Views
Habari, Leo nipo hapa kuomba fursa ya ajira, Kazi au part time job. Kuhusu Mimi Mimi ni ME Umri 26 Elimu form six Napatikana DSM Sifa zangu Mchapa Kazi Mwaminifu Mtu wa kujituma kazini Aina ya...
4 Reactions
11 Replies
538 Views
Ndugu zangu habari ya majukumu ya siku ya leo, natumaini Mungu anawatunza vyema. Mimi ni kijana nina ndoto za kwenda nje ya nchi kufanya kazi za vibarua, naamini wana JF wengi wanafahamu mambo...
1 Reactions
12 Replies
509 Views
Habari za Furahi Day!! Baada ya serikali kutoa kibali cha ajira za walimu takribani 11,015, kupitia ajira portal dirisha la maombi lilifunguliwa na maombi yakafanywa. Baada ya maombi kupitia...
2 Reactions
51 Replies
13K Views
Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kazi ya kusafisha mazingira Huu ni Mradi maalum kwa ajili ya kampeni ya USAFI WA MAZINGIRA & AFYA YA JAMII Mshahara ni lak 3 kwa mwezi ukifikia lengo la kampuni Kazi inahitaji mtu mwenye bidii...
0 Reactions
9 Replies
526 Views
Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school Requirements 1. Minimum three (3) years teaching experience in PRIVATE primary or Secondary schools 2. Education: Diploma or...
2 Reactions
12 Replies
368 Views
Back
Top Bottom