Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
ANAHITAJIKA MTU WA KUUZA DUKA LA DAWA Duka lipo iringa wilaya ya kilolo Kigezo uwe na ADDO Jinsia ya kike Mawasiliano 0624817466
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
1 Reactions
0 Replies
573 Views
Kwa wale wenzetu ambao mnakuwa na uwanja mpana katika soko la ajira, ni vitu gani hasa mnakuwa navyo mpaka mnaweza kubadili kazi mnavyotaka. Yaani unakuta mtu leo yuko kampuni hii, kesho ile. Sawa...
1 Reactions
7 Replies
916 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani. Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa juu ya viwango vya mishahara kwa watu wanaofanya kazi migodini wale wenye certificate ,diploma na bachelor katika mining ,mineral exploration kuwa mishahara yao inarange wapi
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Natafuta kazi. Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
0 Reactions
9 Replies
968 Views
Tunapofanya kazi na biashara mbalimbali za kuajiriwa, na kwakweli hata za kujiajiri wenyewe, kuna wakati tunaweza kuamua kuacha kwa sababu mbalimbali!! Kuna wakati tunatamani kupata kazi na...
20 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari wakuu. Natafuta kazi ama kibarua ujuzi wangu wa gari ndogo na pia ni operator wa mashine aina forklift elimu yangu kidato cha 4 na Umri wangu wa miaka 25. Pia kama kuna kazi au kibarua...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
VACANCIES AVAILABLE 1. HOTEL MANAGER 2. HOTEL SUPERVISOR 3. HOTEL MARKETING MANAGER 4. HOTEL RECEPTIONIST (3 Posts) 5. HOTEL CHEF (3 Posts) QUALIFICATIONS 1. Fluent in English & Swahili...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Msaada wana JF, Kuna mdogo wangu,alituma maombi ya kazi polisi, kwa kutumia cheti cha kidato cha nne (IV) waliambiwa wapeleke kwa makamanda wao wa mikoa, tofauti na wale weneye elimu kuanzia...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania...
1 Reactions
3 Replies
821 Views
Habari wana jukwaa. Kuna binti anahitaji kazi za ndani (nyumbani) Sifa: Umri miaka 30 Dini mkristo Mwenyeji wa Tanga Pia kuna kijana anahitaji kazi ndogondogo. Kwa anayehitaji tuwasiliane. Asante
0 Reactions
12 Replies
659 Views
Wadau, naomba kujua maswali yanayoulizwa kwenye post za IT standards and compliance Utumishi. Asanteni
2 Reactions
4 Replies
782 Views
Prospective suppliers are invited to submit tenders for the provision of maize to The School of St Jude, Sisia Campus, Arusha. All interested parties are welcome to participate in the bidding...
1 Reactions
2 Replies
491 Views
Kuna mtoto wa mdogo wangu amechaguliwa kwenye oral ya pccb, sasa ananiuliza baba mkubwa maswali ni yapi wanatoa nimemuambia ngoja nimuulizie kwa watu. Kwaiyo naomba mwenye uelewa kwenye maswali...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari ya muda huu, matumaini yangu nyote ni wazima. Binafsi namshukuru mungu ni mzima wa afya. Lengo kuu la uzi huu ni nahitaji mtu mwenye pikipiki au mwenye uwezo wa kununua pikipiki tufanye...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Mimi nimesomea mambo ya masoko na mahusiano natafuta ajira nina diploma. Kama kuna mdau mwenye connection au kama alisikia kuna mahali ofisini kuna mchongo tafadhali naomba...
3 Reactions
7 Replies
558 Views
Mheshimiwa Jenista Mhagama hivi karibuni alinukuliwa akiuleza Umma kuwa wata Ajiri kupiti mfumo hifadhi wa Utumishi takribani nafasi 1769 zitatumika kua Ajiri kupitia Data base ya utumishi mwezi...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wana jamvi. Anahitajika Muhasibu aliyetayari kufanyia kazi Bukoba. Fresh graduate itapendeza hasa akiwa wa kike. Kwa maelezo zaidi aje pm
2 Reactions
13 Replies
816 Views
Back
Top Bottom