Habari za majukumu,
Mimi ni kijana wa kiume miaka 26 nimemaliza Shahada ya Ualimu masomo Geography na Kiswahili ninaomba mwenye nafasi yoyote ya ajira aweze kunisaidia.
Mimi ni muaminifu na...
wakuu habari za majukumu naitwa yohana naomba kutumia forum hii kutafuta kazi y Mambo ya yanayohusu miradi nina degree ya project planning and management pia nina diploma ya community...
VACANCIES ANNOUNCEMENT
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) invites qualified Tanzanians to fill vacant posts as shown below:
1.0 INVESTIGATION OFFICERS...
Habari wana jf
Ninaomba msaada wa kupata nafas ya kuitwa interview pale pcci kama kuna mtu anafahamiana naye pale anaijua mianya maana nimeshatuma sana maombi bila mafanikio.
Msaada wakuu kwenye "oral interview" kuhusu majina ya vyeti
Vyeti vya shule majina yanasoma ; jakaya mrisho
Cheti cha kuzaliwa na nida ID majina yanasoma ; jakaya mrisho Kikwete.
Ushauri wakuu...
Habari ya weekend wakuu.
Kuna kozi mbalimbali za saikolojia (afya ya akili) zinazotolewa na vyuo vyetu hapa Tanzania kwa ngazi mbalimbali.
Kuna wahitimu wengi ambao wanafaa sana kuwa kwenye...
Nimemaliza chuo tangu 2019, nimekuwa niki apply kazi kupitia ajira leo, na sehemu mbali mbali zinazotangazwa, ila hadi sasa ivi sijabahatika kuajiriwa.
Sasa sijui ni hii course niliyosomea, au ni...
Habari wana jukwaa,
Kwa anayehitaji dada/binti wa kazi za ndani yupo anapatikana mkoani Dodoma(Kibaigwa).
Sifa zake
Umri miaka 19
Dini: Christian
Mwenyeji: Dodoma
Ana uzoefu wa kutosha wa kazi...
Hayo ameyasema leo kuwa baada ya kuhakiki watumishi hewa na kuhakiki matumizi ya mishahara kwa watumishi wa umma zoezi litakalofauta ni kubadili muundo wa utumishi wa umma.
source. utumishi
Tunatafuta dada wa kazi za salon..mwenye ujuzi wa kusuka mitindo mingi ya kisasa..
Salon iko Tabata mwananchi
Vigezo÷
Awe na umri kuanzia 18
Awe ameshafanya kazi za salon karibuni
Awe karibu na...
Kwa majina naitwa Mikel lesta kiukweli utumishi katika upande wa ajira wapo hovyo sana nafikiri wanaofanya kazi hapo wanajisahau sanaa, nitatoa mifano mitatu na nitashauri kitu na sitoishia huku...
Haya ndugu zangu wapambanaji.
Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja.
Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
Habari wakuu?
Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu...
Habari?
Samahani naomba kujua ni kada zipi zaidi zinapewa kipaumbele/nafasi kwenye kuajiriwa kwenye NGO's mbalimbali?
Pia je, watu wa marketing au public relations wana nafasi za kuajiriwa huko?
Habarini ndugu zangu,
Kuna tangazo la ajira la Redpath mining contractor kila nikilitazama kwa marakadhaa linanipa ukakasi pia ukiongeza na ile email yao ya ajira ya Gmail nashindwa kuwaelewa kwa...
Habari wakuu,
Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote.
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.