Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly.
Points...
Wenye ujuzi wa namna ya kuzipata remote jobs. Zile kazi za kufanya online na taasisi zilizo nje au hapa Tanzania lakini kila kitu mnafanyia online. Tupeni elimu namna ya kuziomba na kuzipata.
Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara...
Kati ya ofisi ya Katibu Mkuu Wizara, Katibu Mkuu Utumishi, ipi naweza kupata msaada?
Nimekuwa nikitafuta kazi kwa muda mrefu hadi sasa.
Nimejaribu kutuma maombi ya kazi sehemu mbalimbali (sekta...
Habari wakuu.
Naomba kujua kama tangazo limesema CV na Cover letter zitumwe kupitia email, lakini vitu kama vyeti havijatajwa. Swali ni je natuma CV na Cover letter pekee bila attachments au...
Habari wakuu, nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba, mpya au used haina shida.ninamzamini wa kuniwekea mdhamana. Ni mfanyakazi wa serikali.pia nina kiwanja pwani cha samani ya Laki...
Mr Xavier Daudi, Sekretariat ya Ajira (PSRS), hivi kweli katika zama hizi za ukosefu wa ajira Tanzania inawezekana vipi mtu moja pekee atimize vigezo vya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya...
Ukipata kazi kwa Mhindi, Mwarabu, Mswahili usitangazie watu kuwa uko na ajira, waambie unazugazuga tu maana hakuna bosi hapo na ajira yenyewe inakuwa ka haina uhakika, kuna dada nihouse girl kwa...
Nina kakangu amesema chuo UDSM mwaka 2017 Stashahada ya uzamili ya elimu kila akiomba tangu 2018 hapati wala hakuna hata mmoja wa degri hiyo alichukuliwa. Unajiuliza waliruhusu isomwe hapo UDSM...
Kwema wakuu?
Takribani wiki moja na siku kadhaa tangu tarehe ya mwisho ya kuapply nafasi za intern za GGM zilizotumwa mwezi huu Nov,22. Kuna yeyote aliyeitwa mpaka sasa? Au mwenye taarifa yeyote...
Mtaani kuna graduates wengi sana
wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu...
Tokea Marehemu Magufuli alivyosimamisha ajira kwa mkupuo kupisha zoez la uhakiki wa watumishi hewa zoez la ajira mpya serikalini lilisitishwa, katika utawala huu wa Mheshimiwa Samia , naona hasa...
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.
Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu...
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri sana mnayofanya, kwangu nyie ndo taasisi bora zaidi Tanzania hii.
Nikija kwenye mada, lini mtatangaza ajira ?
Mwaka uliopita 2021 walianza Polisi, wakaja...
Salaam wanabodi,
Mwaka 2018 nilipata bahati ya kuitwa interview ya shirika la Ujerumani ambapo katika usaili waliniuliza endapo ningekuwa nimefanikiwa kwenda kufanya kazi huko Ujerumani na katika...
Habari ya muda wakuu,
Nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kumudu maisha ya kila siku, kwa taaluma me ni muhitimu wa Bsc,. Agricultural Economics and Agribusiness kutoka Sua...
Casino, cafe, restaurant, hotel au sehemu nyengine yoyote Barman, barista, driver na auto technician
Mwenye connection jamani hapo kwenye part yoyote hapo Dar es Salaam anitonye tupige harakati...
baada ya kutafuta kazi bila mafanikio kwa muda mrefu sana nimemua kuja Botswana huku maisha angalau cz nimeajiliwa kama dereva tax nimepanga getto ila kuna vishawishi balaa watoto wazuri kibao...
Habarii wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.