Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Nahitaji huduma ya kutengenezewa website yenye subcription kwa gharama nafuu maana bado ni biashara changa
0 Reactions
4 Replies
667 Views
Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama tangazo kichwa kinavyojieleza. Nahitaji mtu ambaye anajua React JS kwa ajili ya kazi ya contract miezi mitatu. Kama kuna mtu yupo interested anicheki PM.
3 Reactions
2 Replies
839 Views
Habari, Nini kilikusaidia kufaulu usaili wa ana kwa ana (oral) au ulikosea wapi? Naomba tushare expirience wakuu.
7 Reactions
259 Replies
38K Views
Habarini za jioni hii Je, unapokutana na jopo la inteviewers (wanaokuuliza maswali) na kuanza kukuuliza maswahili ni ishara gani itaonyesha kuwa umefanya vizuri 1. Ni kujibu maswali yote kwa...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Habari wakuu! Naomba mtu mwenye ujuzi wa kuandika proposal yoyote kwenye nyanja tofauti anichek Kwa namba 0683263330/0711633656
2 Reactions
5 Replies
652 Views
Hallow hallow Mambo vipi wadau wa JF hope mko poa ok baada ya kushusha thread hii👇👇...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani nimeshikika, Nadaiwa Kodi ya miezi mi3 na nimepewa Notice ya kuondoka tarehe 15 Tafadhali nisaidieni mchongo wa Kibarua chenye malipo kwa siku. Nipo tayari kufanya kazi yoyote Ile. Mungu...
1 Reactions
9 Replies
439 Views
Habari wakuu? Poleni na majukumu ya hapa na pale pia hongereni kwa kupambana. Kutokana na kichwa cha habali hapo juu, Ndugu zanguni, wakuu naombeni yeyote ambaye ana connection au anazijua...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wandugu. Naitwa Saidi napatikana pugu wilaya ya ilala mtaa wa bombani. Natafuta gari(Noah) ya kufanyia kazi hapa wilaya ya kisalawe natoa elf 30 kwa siku isipokuwa j.pili ndo sifanyi kazi...
1 Reactions
7 Replies
831 Views
Hatimae ile Aptitude Test iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kutoka PCCB imemalizika dakika chache zilizopita. To be honest Test ilikuwa nyepesi but very Technical,kiasi kama ukiangalia kimapepe...
6 Reactions
22 Replies
4K Views
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi. Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za...
8 Reactions
170 Replies
26K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana mwenye Bsc IT & Systems, Nna ujuzi wa kutengeneza mifumo ya kompyuta, tovuti, UI\UX Design & Graphics. Nakukaribisha tuweze kufanya kazi na kuweza kutatua matatizo...
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Kuna mshikaji wangu mmoja kanipa story hizi pesa za hao viumbe wasio onekana kama.majini n.k nowdays ndo zinawapa watu maisha. Najuwa humu kuna wajuzi wa mambo ebu mimi na wengineo tusio elewa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau naomba anayejua clinical officer ngazi ya diploma anaanza na mshahara kiasi gani?
1 Reactions
25 Replies
51K Views
Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari watu wa humu. Nilikuwa nataka kujua hawa wanaojiita WAHUDUMU channel ni kweli wanaunganisha watu na ajira? Siyo matapeli? Wananiambia ofisi zao zipo Manzese, kama Kuna mtu ashawahi...
1 Reactions
3 Replies
844 Views
Hivi ndugu zangu nimeomba nafasi ya assistant operation officer nafasi zipo 10 tumeitwa 1592 inamaan nafasi 1 inagombaniwa na watu 199 na hapo hzo nafasi kumi utakuta nafasi 5 tayari kuna watoto...
10 Reactions
53 Replies
6K Views
Naitwa ashirafu malulu nipo kahama nifundi wa tsf yoyote mwenye uita tuwasiliane . 0753360886
1 Reactions
0 Replies
397 Views
Nimesikia jwtz wametoa nafasi 300 za madereva... wenye info zaidi atufahamishe.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom