Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimesomea shahada ya sanaa katika utamaduni na utalii. Inahusisha pia Hotels, Tour companies, Museums Pia nina Stashahada ya uzamili(Postgraduate diploma) katika...
2 Reactions
3 Replies
441 Views
Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nina elimu ya sekondari kidato cha nne Nilihitimu 2017 lakini sikubahatika kuendelea na elimu ya advance, mimi ni mkubwa kwenye familia ya watoto...
4 Reactions
10 Replies
949 Views
Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wadau najitokeza kwenu kuomba ajira Nipo Arusha mjini nina uzoefu wa kutengeneza garden na kutunza lkn pia nina uzoefu pia wa ufugaji samaki kuanzia uandaaji wa bwawa mpk kuweka samaki na...
2 Reactions
3 Replies
442 Views
Wakuu kuna mtu aliye fanikiwa kuapply hizi kazi zilizotangazwa na Benki ya Nmb maana kwangu naona portal yao imegoma kufunguka na muda ndio unaelekea kuisha.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habar members, Tangu nimeajiriwa yapata mwaka mmoja kazini, niliajiriwa kwa kupitia cheti cha diploma lakini wakati huo tayari nilikuwa mwaka wa mwisho masomoni kwa level ya degree. Hivyo kwa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello mdogo wangu ni dereva wa magari makubwa pia anaweza kuendesha gari ndogo, analeseni ambayo inafanya kazi, anatafuta kazi popote akipata atafanya kwa uaminifu wote. Atakumuendesha mtu cha...
2 Reactions
1 Replies
357 Views
Habari wanajamvi, mimi ni kijana mjasiriamali nimejichanga hadi nimefungua kampuni yangu ya mambo ya IT na Security Camera installation. 1.Naomba mtu yeyote anayeweza kunipa msaada wa jinsi ya...
1 Reactions
13 Replies
9K Views
Kazi unayofanya sasa hivi uliiisomea? Au ajira yako ya sasa inaendana na ulichosomea? Wale mnaofanya kazi ambazo hamjasomea na life linasonga tu basi tumia uzi huu kuwapa vijana tips na moyo...
1 Reactions
1 Replies
436 Views
Hii ni Barua ya Wazi Kwenu Viongozi wakubwa Wa Hii Nchi. Ninaamini Kukaa Kimya Hakutonibadilishia Chochote ila angalau kama Nikisema Pengine Mnaweza Kuona na Kunisaidia. Tangu nilipokuwa Mdogo...
19 Reactions
37 Replies
5K Views
kwema wakuu, hivi karibuni wametangaza ajira za watendaji wa kijiji.ni jambo zuri kwa sisi watafuta vibarua kero ipo sehemu moja, halmashauri nyingi zina upungufu wa watumishi katika kada...
5 Reactions
82 Replies
22K Views
Nini tatizo, Kwanini nafasi hizo zinarudiwa mara kwa mara kutangazwa? Je wanakosa watu? Je watanzania hawana vigezo? Je wakachukue wageni? Je watanzania hawana elimu za masters? Je kusoma masters...
4 Reactions
112 Replies
6K Views
We are looking for a talented, quantatively gifted student. Work in all aspects of business operations and optimization. We will train and fully onboard. Very fast paced work environment...
2 Reactions
10 Replies
757 Views
Maisha haya stress zisikie tu kwa mwenzako, hii siku ya tatu sipati uzingizi. Kuwa jobless sasa umekuwa mzigo mzito sana kwangu. Kumbe ndio maana vijana hujiingiza kwenye kutumia madawa ya...
20 Reactions
109 Replies
8K Views
I'm a photographer with experience in advertisement for small and medium sized programs/projects. Whether you are trying to win work, or full advertisement materials like Posters, Flyers, Business...
1 Reactions
0 Replies
209 Views
Wakuu nimeona niwe specific kwenye kila eneo ninalolimudu,kuandika sana kunachosha watu kusoma neno kwa neno. Kama Kichwa cha habari kilivyojieleza hapo. Mimi ni mtaalam mzuri katika kuandaa na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwani kuna wanaume wanatongoza siku hizi?? Ni nani hao ?? Wanawake wenyewe ndo wanajitongozesha !! Hii thread imekujaje nyie Admns, mm nacomment halafu yenyewe inajipa.headline. Duuh
3 Reactions
13 Replies
841 Views
Naomba nijue, naona siku hizi ukitaka kuomba kazi za Serikali unapitia ajira portal(www.ajiraportal.gov.tz). Sasa swali langu inakuwaje kwa wale ambao wako uko vijijini au hawana access ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waungwana tujumuike humu tupeane updates kwa kile kinachoendelea...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari ndg wanajamii! Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom